Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
- Thread starter
- #21
Nafurahi kufaninishwa na member mkongwe ambaye ni Genius wa nguvu kwani siku zote nilikuwa najiona mimi mtu wa kawaida sasa kama watu wameanza kunifananisha na mtu mzito kama GENTAMYCINE basi uwezo wa akili umekuwa mkubwa sana siku hizi.Aah aah.
Nakubali Game changer and entertainer.
Purely talented and charismatic fella.