Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
Huyu ni miongoni mwa member kijana ambaye alikuwa na mchango mkubwa katika mijadala mbalimbali Jf katika kujenga hoja za nguvu na michango chanya ya kuelimisha , ushauri na ukombozi wa kifikra.
Kipindi cha kati alipotea baada ya kumkuta soo hapa Jf team Mafia kufanya yao ila sasa naona karejea tena . Hii na faraja kubwa sana kwa wale wapenda madini Jf na tunamkaribisha tena mwamba hayaland 30rd