UMUGHAKA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 3,149
- 14,407
Mbona wanawake wenzako hawana Gubu kiasi hiki?,Hivi mtu kama Lamomy angekuwa na Gubu kama lako pangekalika kweli hapa JF?GENTAMYCINE nikianzishiwa Uzi na Mtu anayenikubali hapa JamiiForums haraka sana ID yake itasemwa ni yangu (yaani Multiple IDs) ila nikianzishiwa Uzi wa Kuongelewa au Kujadiliwa vibaya wala hutosikia Watu wakisema hizo IDs ni zangu.
Juzi kwa Kujiamini kabisa nilisema kuwa nawaomba Moderators wa JamiiForums wafanye Uchunguzi wao mkubwa na wa Kiutaalam kabisa na wakikuta Mimi GENTAMYCINE nina ID zaidi ya hii hapa JamiiForums basi ama wanipe BAN ya mwaka au Waifute kabisa hii ID yangu au Permanent BAN kabisa.
Cc: Refiner, Cookie, Payge, Active, Paw, YinYang, Moderator, Fang, Wand, Mhariri, JamiiForums, Bridger, Principled, Reviser, celix, Boqin and JamiiForums Founder Maxence Melo