Nimefurahi sana kuona Genius Dr. Hayaland kurejea JF. Karibu tena hayaland 30rd

Aah aah.

Nakubali Game changer and entertainer.

Purely talented and charismatic fella.
Nafurahi kufaninishwa na member mkongwe ambaye ni Genius wa nguvu kwani siku zote nilikuwa najiona mimi mtu wa kawaida sasa kama watu wameanza kunifananisha na mtu mzito kama GENTAMYCINE basi uwezo wa akili umekuwa mkubwa sana siku hizi.
 
Nafurahi kufaninishwa na member mkongwe ambaye ni Genius wa nguvu kwani siku zote nilikuwa najiona mimi mtu wa kawaida sasa kama watu wameanza kunifananisha na mtu mzito kama GENTAMYCINE basi uwezo wa akili umekuwa mkubwa sana siku hizi.
GENTAMYCINE nikianzishiwa Uzi na Mtu anayenikubali hapa JamiiForums haraka sana ID yake itasemwa ni yangu (yaani Multiple IDs) ila nikianzishiwa Uzi wa Kuongelewa au Kujadiliwa vibaya wala hutosikia Watu wakisema hizo IDs ni zangu.

Juzi kwa Kujiamini kabisa nilisema kuwa nawaomba Moderators wa JamiiForums wafanye Uchunguzi wao mkubwa na wa Kiutaalam kabisa na wakikuta Mimi GENTAMYCINE nina ID zaidi ya hii hapa JamiiForums basi ama wanipe BAN ya mwaka au Waifute kabisa hii ID yangu au Permanent BAN kabisa.


Cc: Refiner, Cookie, Payge, Active, Paw, YinYang, Moderator, Fang, Wand, Mhariri, JamiiForums, Bridger, Principled, Reviser, celix, Boqin and JamiiForums Founder Maxence Melo
 
Mbona hujawahi nisifia Mimi mwanaume wa Kikurya mwenye utimamu wa mwili na akili?

Au mpaka Ulombwe ndo utoe sifa!?,Oookk(in shetas voice)

Naomba nikulombe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…