Mbona wanawake wenzako hawana Gubu kiasi hiki?,Hivi mtu kama Lamomy angekuwa na Gubu kama lako pangekalika kweli hapa JF?GENTAMYCINE nikianzishiwa Uzi na Mtu anayenikubali hapa JamiiForums haraka sana ID yake itasemwa ni yangu (yaani Multiple IDs) ila nikianzishiwa Uzi wa Kuongelewa au Kujadiliwa vibaya wala hutosikia Watu wakisema hizo IDs ni zangu.
Juzi kwa Kujiamini kabisa nilisema kuwa nawaomba Moderators wa JamiiForums wafanye Uchunguzi wao mkubwa na wa Kiutaalam kabisa na wakikuta Mimi GENTAMYCINE nina ID zaidi ya hii hapa JamiiForums basi ama wanipe BAN ya mwaka au Waifute kabisa hii ID yangu au Permanent BAN kabisa.
Cc: Refiner, Cookie, Payge, Active, Paw, YinYang, Moderator, Fang, Wand, Mhariri, JamiiForums, Bridger, Principled, Reviser, celix, Boqin and JamiiForums Founder Maxence Melo
Hivi naruhusiwa kucheka hapa?!Mbona hujawahi nisifia Mimi mwanaume wa Kikurya mwenye utimamu wa mwili na akili?
Au mpaka Ulombwe ndo utoe sifa!?,Oookk(in shetas voice)
Naomba nikulombe!
Ukiwa mjinga kiasi hiki haustahili kujibiwaMbona hujawahi nisifia Mimi mwanaume wa Kikurya mwenye utimamu wa mwili na akili?
Au mpaka Ulombwe ndo utoe sifa!?,Oookk(in shetas voice)
Naomba nikulombe!
Akili za kunijibu utazitoa wapi ikiwa kuandika tu Huwezi!Ukiwa mjinga kiasi hiki haustahili kujibiwa
Cheka mkuu ila usivunje mbavu!Hivi naruhusiwa kucheka hapa?!
Rubbish and Nonsensical.Mbona wanawake wenzako hawana Gubu kiasi hiki?,Hivi mtu kama Lamomy angekuwa na Gubu kama lako pangekalika kweli hapa JF?
Taratibu asijesikia hayo maneno mkuu wa mahacker hapa Tanzania mheshimiwa sana mkuu wa wakuu dada yetu na kipenzi cha wengi asiyemithirika dada na rafiki yetu ndugu HannahSiyo huyu alishushiwa maPDF π€£ π€£
Cheka uyaogeHivi naruhusiwa kucheka hapa?!
ππKuna mpya gani? πΉ
Nasikia Dr. Manyaunyau karudi na anakutafuta π€£ π€£Kuna mpya gani? πΉ
Kama ni sifa leo amezioga π , ngoja aje nimuombe ashushe na PDF lako πTaratibu asijesikia hayo maneno mkuu wa mahacker hapa Tanzania mheshimiwa sana mkuu wa wakuu dada yetu na kipenzi cha wengi asiyemithirika dada na rafiki yetu ndugu Hannah
Weeehh laaziz wangu manyau nyau karudi kumbe? πΉπΉπΉNasikia Dr. Manyaunyau karudi na anakutafuta π€£ π€£
Hawezi yule ni dada yangu usinigombanishe naye bure mimi ugomvi sitaki kabisa na watuKama ni sifa leo amezioga π , ngoja aje nimuombe ashushe na PDF lako π
Ndiyo karudi kwa mbwembwe zote ππ kwanza nina wasiwasi na hii ni ID yake pia au kama siyo, basi katoa alfu 3 aandikiwe huu uzi π€£Weeehh laaziz wangu manyau nyau karudi kumbe? πΉπΉπΉ
Furahini sana ,chekeleeni sana ila punde dada mkuu akirejea JF nawahakikishia huyo ndugu yangu atapotea tena maana najua kategeshea dada akiwa offlineNdiyo karudi kwa mbwembwe zote ππ kwanza nina wasiwasi na hii ni ID yake to pia au kama siyo, basi katoa alfu 3 aandikiwe huu uzi π€£
Kwahiyo mimi nikitaka utanikatalia?Mimi ugomvi sitaki kabisa na watu