Nimefurahi sana mchepuko wangu kunijulisha ana ujauzito wangu.

Mrembo kazurura katafuta fala kakosa, akakumbuka mafala bado wapo akakuona wakati Yuko mawindoni usiku wa manane.
 
Ilikuwa mida ya saa nane usiku, lakini huko ndani utafikiri labda ni saa mbili usiku.

Ghafla nikahisi nimeshikwa bega, mtu ananikisi shingoni, nilipogeuka ndiokumuona yule mrembo, moyo ulishtuka hatari.
Akishazalishwa sasa anajiuza kwenye mabar😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…