zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Previously wimbo ulikua wa kampeni za Msigwa ila naona umeboreshwa uwe wa kitaifa. Unanibamba sana, inapaswa baada ya campaign uchukue nafasi ya ''one love'', inasaidia zaidi branding ya chama.
Source:
Yericko Nyerere
Nawashukuru wote mliojitokeza kuchangia chochote kugharamia maboresho wimbo wa "Chadema" ulioimbwa na Vijana wa Mh
@MsigwaPeter ili uwe wa kampeni za Urais/kitaifa. Tumefanikiwa kupata kiasi cha 1,051,000/=. Tayari maboresho yamefanyika, Wimbo uko tayari kwa matumizi ya kampeni.
UPDATE
Wimbo mpya huu hapa