Uchaguzi 2020 Nimefurahi wimbo huu kuwa rasmi wa kampeni CHADEMA

Uchaguzi 2020 Nimefurahi wimbo huu kuwa rasmi wa kampeni CHADEMA

Kitengo cha habari maelezo Chadema bado kinapwaya sana. Na hawafati ushauri sijui kwa nini
Sio CHADEMA tu taasisi nyingi bongo upande wa TEHAMA tunafeli sana, ukiingia mpaka website za taasisi kubwa unakuta update ya mwisho ni miaka 3 iliyopita.

Nadhani ofisi ya msajili wa vyama ilazimu vyama kuajiri professional IT experts ili waendane na mpango wa taifa wa maendeleo eneo la teknolojia. Nilidhani CHADEMA digital ingesolve hili ila naona bajeti wamepewa ndogo sana.
 
Huu wimbo mkali sanaa wauachee huu huu
Hii ina amsha amsha zaidi lakini hyo ya Aiyaya CHADEMA ipigwe ule muda ambapo kampeni imeisha uchukue nafasi ya One Love ya Bob Marley.

Watu wakihamasika na hoja alafu ukapigwa huu wimbo aisee kuna morale zinapanda balaa.
 
Sana kwa kweli
 
Chadema bhana...mipango hamna, mengine mnakutana nayo huko huko njiani.

Kwasasa tumpatie kura JPM za kishindo baada ya uchaguzi tutawachangia ili mfurahie hilo jisongi lenu [emoji23][emoji23][emoji23].

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Hivi ule wimbo wa CHADEMA CHADEMA peoples power mmeupeleka wapi CDM?.

Ulikuwa mzuri zaidi ya huu.

Ila nyimbo zote zitaimbwa lakini CCM mbele kwa mbele wa marehemu Komba ni baba lao.

Acha waisome nambaa eee waisome nambaaa....[emoji3][emoji3]
 
Chadema bhana...mipango hanna mengine mnakutana nayo huko huko njiani.

Kwasasa tumpatie kura JPM za kishindo baada ya uchaguzi tutawachangia ili mfurahie hilo jisongi lenu [emoji23][emoji23][emoji23].

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Nachowapendea CDM wote ni washauri...

Nadhani ni jambo zuri la kuiga lakini.

Unajua kwanini karibia kila mmoja anageuka mshauri?
 
Chadema bhana...mipango hanna mengine mnakutana nayo huko huko njiani.

Kwasasa tumpatie kura JPM za kishindo baada ya uchaguzi tutawachangia ili mfurahie hilo jisongi lenu [emoji23][emoji23][emoji23].

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Mipango gani hamna? Kwa mara ya kwanza tuna mawakala kwenye kila kituo cha nchi hii tokea CHADEMA ianzishwe halijawahi tokea.

Kwa mara ya kwanza tumesimamisha wabunge na madiwani wengi kuliko chaguzi yoyote ile.

CHADEMA inatumia zaidi kanda zake kwenye kuandaa kampeni ndio maana kila anapopita mgombea Urais anakuta organization tofauti na kampeni za Slaa kila kitu kinaratibiwa ufipa.

Alafu unadai hatuna mipango? Umeona feedback ya mikutano ya Lissu kote alipopita? Hvi huoni kwa propaganda za Magu miaka 5 amepata serious contender tofauti na wengi tulivyofikiria kuwa upinzani umekufa?

Be serious
 
Back
Top Bottom