Uchaguzi 2020 Nimefurahi wimbo huu kuwa rasmi wa kampeni CHADEMA

Uchaguzi 2020 Nimefurahi wimbo huu kuwa rasmi wa kampeni CHADEMA

Mkuu tusubirie October 28 yaani CCM itawapa somo zuri sana.

Ni ushindi wa kishindo kwa JPM.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Labda ushindi wa kutumia njia nyingine sio sanduku la kura manake mpaka sasa mnapumulia mashine
 

Previously nyimbo ilikua ya kampeni za Msigwa ila naona umeboreshwa uwe wa kitaifa. Unanibamba sana, inapaswa baada ya campaign uchukue nafasi ya ''one love'', inasaidia zaidi branding ya chama.

Source:
View attachment 1590825

Yericko Nyerere

Nawashukuru wote mliojitokeza kuchangia chochote kugharamia maboresho wimbo wa "Chadema" ulioimbwa na Vijana wa Mh
@MsigwaPeter ili uwe wa kampeni za Urais/kitaifa. Tumefanikiwa kupata kiasi cha 1,051,000/=. Tayari maboresho yamefanyika, Wimbo uko tayari kwa matumizi ya kampeni.
Uko wapi sasa tuanze kukariri mabeti. Unafaa kusomba watu mtaani kuelekea ikulu
 
Safi sana. Huu wimbo asili yake ni toka kwa mwanamuziki wa nyimbo za injili wa zimbabwe anayeitwa mkhululi bhebhe. Wimbo unaitwa Namata ikiwa na maana ya "pray". Huu wimbo ulipata umaarufu ndani ya Joyous celebration. Huu wimbo ukiusikiliza tafsiri yake ni kwamba wanamkemea shetani. Wanamwambia

"shetani tunakuja kwaajili yako , na mapanga ya injili tukipiga kelele kwasababu wewe huna nguvu."

Mistari yake ya mwanzo hii hapa na tafsiri yake[emoji116][emoji116]

Iwe satani (Hey you Satan!) Hayi!
Tinouya (We're coming) Hayi!
Kwauri (For you) Hayi!
Nomunondo (With the sword) Hayi!
Weshoko (Of the gospel) Hayi!
Tichiti (Shouting) Hayi!
Hauna simba (You have no power) Hayi!
Kuvakomana (On the boys) Hayi!
Nevasikana (And the girls) Hayi!
Vakatengwa (For the've been bought) Hayi!
RaJesu (Of Jesus) Hayi!
Viva Jesu (Long live Jesus) Viva! x4
Naye Jesu (Yes Jesus) Naye! x4.


Hakika aliyefanya hii cover ya huu wimbo kajitahidi sana. Nashauri huu wimbo ungejikita kunadi mgombea urais na kuipraise chadema. Hayo maneno kama 'msigwa' au 'iringa' yanaomdoa radha kwa maeneo mengine mfano arusha. Nawasilisha wadau ni wazo tu.

Wimbo halisi huu hapa
Mkuu winbo huo umehaririwa upya, ulipelekwa studio jana, utakuwa kampeni kitaifa
 
Hii nyimbo tutaiimba huku tukibubujika machozi na kukimbia katika maeneo mbalimbali ya Tanzania tukisherekea ushindi hapo mwezi November mwaka huu.

Kama Mungu Mwenyezi Muumba wa mbingu na ardhi aishivyo lazima hili litokee kwa Jina la Yesu!

Ni "huu wimbo" siyo "hii nyimbo"
 
Kuna thread hapa niliweka lakini nadhani umefutwa. Nilipendekeza utengenezwe mwenge, upewe jina la uhuru haki na maendeleo ya watu. Kuna mzee alikuwa anachonga mienge ya CCM atafutwe. Uandaliwe ujumbe maalum wa kuwapelekea wapiga kura. Siku zilizobaki ukimbizwe katika majimho yote ya uchaguzi. Hakuna kulala. Kati ya walioenguliwa na tume iundwe timu ya kuukimbiza nchi nzima, kumbuka hawa wanamachungu ya kukatwa watafikisha ujumbe vilivyo. Huo wimbo ndio utoe hamasa na amsha amsha. Hii itaziba nafasi ya wasanii na kuziba pengo maeneo ambapo Lisu hakufika.
Peopleeeeeesssss!!!
 

Previously nyimbo ilikua ya kampeni za Msigwa ila naona umeboreshwa uwe wa kitaifa. Unanibamba sana, inapaswa baada ya campaign uchukue nafasi ya ''one love'', inasaidia zaidi branding ya chama.

Source:
View attachment 1590825

Yericko Nyerere

Nawashukuru wote mliojitokeza kuchangia chochote kugharamia maboresho wimbo wa "Chadema" ulioimbwa na Vijana wa Mh
@MsigwaPeter ili uwe wa kampeni za Urais/kitaifa. Tumefanikiwa kupata kiasi cha 1,051,000/=. Tayari maboresho yamefanyika, Wimbo uko tayari kwa matumizi ya kampeni.
Una impact gani? Maana Chadema hii haitakasiki hata ka mafuta ya mawese.
 
Mambo motoo
giphy.gif
 
Jadi hubadirika, kamuulize baba yako bado ana tambika?
Hubadirkaje nielimishe maana mimi ninachojua mila na desturi huwa zinaboreshwa zaidi sio kubadilika..Mmasai anaweza kuacha kuvaa lubega lakini hiyo haimbadilishi kuongea kimasai na kuwa kabila la Mmasai.

CCM inaenda kushinda kwa kishindo.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Back
Top Bottom