zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Acha kufananisha utopolo wa Zuchu na Nyimbo kali hii wewe!!Copy paste from Zuchu
Not really, hiko kibwagizo kimepata umaarufu movie ya ''Sarafina'' nyimbo za kupigania uhuru. Huyo Zuchu kacopy huko so she's a nobody (Other than an overrated ) hata afikie level ya kuigwa na CHADEMA!!Copy paste from Zuchu
Zuchu ndio naniCopy paste from Zuchu
Mbona wimbo upo mda hata kabla ya zuchu sema umetumika Sana ukanda wa kuanzia iringaAcha kufananisha utopolo wa Zuchu na Nyimbo kali hii wewe!!
Dogo mmoja hivi baada ya kuibuliwa na Diamond CCM wamemparamia kama wao ndo walimuibua 😂😂😂Zuchu ndio nani
Huu wimbo ni hatareeeee!!! Unakupa mzigo wa kwenda kupiga kura kumpiga Lissu, wabunge na madiwani wa Chadema hata kama ulikuwa hujisikii kwenda kupiga kura!!Wimbo ukitumiwa vizuri utawapa CDM Mileage! Watanzania tunashawishika na vitu vidogo
Watashindana lakini hawatashindaaaaHofu yangu BASATA maana hii mijitu usishangae ikaibuka na kuufuta km wa Sugu
Ule wimbo wa ''CCM ni ile ile.... Wacha waisome namba eeh'' uliwapa sana political capital CCM. Ulikua na amsha amsha balaaWimbo ukitumiwa vizuri utawapa CDM Mileage! Watanzania tunashawishika na vitu vidogo
Wonderful idea [emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548]Napendekeza pia liandaliwe tangazo la dakika 2-3 la Tundu Antiphas Lissu akiongea kwa utulivu kuhusu sera za chadema kwa ujumla. Awe amekaa nyuma yake Kuna bendera ya Tanzania, huku akiwa anawaomba kura watanzania na akitaja sera Kuu na vipaumbele vikuu vya Chadema.
Nyimbo hii iwe sehemu ya Tangazo hili Yaani Soundtrack wakati Lissu anazungumza!!
Tangazo hili likishaandaliwa liipiwe kurushwa kwenye Radio stations hasa za mikoani, na mijini bila kusahau Channel za Video( ITV na Clouds) pamoja na Channel za online.
Najua CCM wakiona hili wataiga na kutengeneza lao Ila Chadema na nyie tengenezeni lenu mkitumia hii nyimbo kama Soundtrack!!
Cc Chadema Diaspora, Tumaini Makene, John Mnyika na CHADEMA
Kitengo cha habari maelezo Chadema bado kinapwaya sana. Na hawafati ushauri sijui kwa niniNapendekeza pia liandaliwe tangazo la dakika 2-3 la Tundu Antiphas Lissu akiongea kwa utulivu kuhusu sera za chadema kwa ujumla. Awe amekaa nyuma yake Kuna bendera ya Tanzania, huku akiwa anawaomba kura watanzania na akitaja sera Kuu na vipaumbele vikuu vya Chadema.
Nyimbo hii iwe sehemu ya Tangazo hili Yaani Soundtrack wakati Lissu anazungumza!!
Tangazo hili likishaandaliwa liipiwe kurushwa kwenye Radio stations hasa za mikoani, na mijini bila kusahau Channel za Video( ITV na Clouds) pamoja na Channel za online.
Najua CCM wakiona hili wataiga na kutengeneza lao Ila Chadema na nyie tengenezeni lenu mkitumia hii nyimbo kama Soundtrack!!
Cc Chadema Diaspora, Tumaini Makene, John Mnyika na CHADEMA
Hata huu mkuu unamizuka sanaHuu wimbo ni hatareeeee!!! Unakupa mzigo wa kwenda kupiga kura kumpiga Lissu, wabunge na madiwani wa Chadema hata kama ulikuwa hujisikii kwenda kupiga kura!!
Mungu wabariki na kuwawezesha Chadema kwa Jina la Yesu!