zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
- Thread starter
-
- #101
Haahaaa mtani mgombea wenu anatoka lini gereji? Lissu ni msafi hana skendo hta robo mlidhani atapitishwa Nyalandu ili mumchafue ni jangili? Poleni sana mwaka huu hamkutegemea kampeni zingekua ngumu hiviUna impact gani? Maana Chadema hii haitakasiki hata ka mafuta ya mawese.
akili zako zipo matakoni.Copy paste from Zuchu
AmenHii nyimbo tutaiimba huku tukibubujika machozi na kukimbia katika maeneo mbalimbali ya Tanzania tukisherekea ushindi hapo mwezi November mwaka huu.
Kama Mungu Mwenyezi Muumba wa mbingu na ardhi aishivyo lazima hili litokee kwa Jina la Yesu!
Gereji ipi? Leo alikuwa ikulu Dar es salaam anachapa kazi. Mpaka sasa Ccm ina uhakika wa 79.5%, siku zilizobaki ni kuongeza idadi ya kura tu.Haahaaa mtani mgombea wenu anatoka lini gereji? Lissu ni msafi hana skendo hta robo mlidhani atapitishwa Nyalandu ili mumchafue ni jangili? Poleni sana mwaka huu hamkutegemea kampeni zingekua ngumu hivi
ChuchuZuchu ndio nani
Thubutu yake.....mbona tutawagawana!!! This time around CHADEMA wamekuja kivingine kabisa......Acha kabisa!Hofu yangu BASATA maana hii mijitu usishangae ikaibuka na kuufuta km wa Sugu