Mkuu chukua maua yako πππPole sana Mangi
Kwa kukusaidia Taasisi yoyote huwa unahitaji kuji brand kila baada ya muda ili ije na mwelekeo tofauti. Mara nyingi katika macho ya Watumiaji ( consumers) ni lazima uje na mkakati tofauti hata wa kimuonekano.
Ni lini katukana?Bado yule makamu mwenyekiti na mwanasheria,hili fagio litamkuta tu,ni suala la muda
Huyo Red blood cell mwenyewe ni mfuasi mwaminifu wa Mzee Nkurunzinza aache kujikomba komba vipi na yeye achukuliwe hatua? ... Chadema wanamkanda bundi kizazi..Njmegundua hata mtoa hoja na wewe ni mnafiki tu yaani kidagaa Ntobi kimefutwa uongozi halafu TAL mnakuja kumfukuza uananchama. Kweli siasa za Kiafrika ni kuthamini matumbo yenu tu.
TAL anaundiwa ZENGWE aisee siasa za Kiafrika ni kichefuchefu sana. πππ
Mwenyekiti alishaweka wazi kama sii huu mchakato na kuwa watu watatafsiri ni kwa sababu kagombea uenyekiti basi lisu angeshaliwa kichwaNilionya Mapema kwamba ni vema hawa wanaoropoka na kutukana Wagombea wengine, Waitwe, Waonywe na wasamehewe.
Lengo la ombi langu hilo ilikuwa kuepusha mkanganyiko na kudumisha Umoja na Mshikamano, Kwa sababu Kuna maisha baada ya Uchaguzi .
Kwa Bahati Mbaya Ofisi ya Katibu Mkuu ilinipuuza na kuwaachia watu wateme nyongo zao, Imekuja kustuka ikiwa muda ushapita, na kiukweli pande zote zinakashifiana, Lissu anapiga Spana kwa kusaidiwa na wanaomuunga mkono, na huku Wapambe wa Mbowe nao wakipiga spana upande wa pili, hakuna penye afadhali.
Siku zote Minyukano kwenye Chama kilicho hai ni ishara ya kukomaa kwa Demokrasia ndani ya Chama hicho, Lakini kushambuliana kwa kuvuka mistari ya Katiba ya Chama huo ni Uhuni na hatutakubali, Chadema siyo genge la Wavuta bangi.
Naunga Mkono Kuondolewa kwa Ntobi kwenye uongozi kwa kukiuka maadili ya Chama, kama Alijivunia Cheo chake mbona Wenyeviti wengine wa mikoa hawatukani, kwani wao hawahusiki na Uchaguzi huu au wao ni Wajinga?
Sasa maadam tumeamua kuadhibu Watovu wa nidhamu basi tusiishie kwa Ntobi pekee, tushughulikie na wengine wote wanaofahamika, Orodha yao ipo wazi kabisa na mimi ninayo.
Kikubwa ni kwamba Watakaposhughulikiwa tusianze kulialia na kuleta lawama, kama Katiba ya Chadema ni moja basi panga lililotumika kufyeka Ntobi, Lifyeke na Watukanaji wengine.
Mungu Ibariki Chadema.
Mkuu sijakuelewa π€Huyo Red blood cell mwenyewe ni mfuasi mwaminifu wa Mzee Nkurunzinza aache kujikomba komba vipi na yeye achukuliwe hatua? ... Chadema wanamkanda bundi kizazi..
TAL hadhurumiwi kizembe mkuu labda wamshinde kwa HAKI tu. hebu tafuta uzi wa Robert Heriel Mtibeli alioanzisha jioniMwenyekiti alishaweka wazi kama sii huu mchakato na kuwa watu watatafsiri ni kwa sababu kagombea uenyekiti basi lisu angeshaliwa kichwa
This is a very simple code. Decipher it dawg.Mkuu sijakuelewa π€
Sasa si ungeweka orodha na matusi yao? Wewe hujui ila unataka watu waote tu? Ungekuwa na majina na ushahidi ungeweka hapa tum forwardie katibu na mwenyekitiNilionya Mapema kwamba ni vema hawa wanaoropoka na kutukana Wagombea wengine, Waitwe, Waonywe na wasamehewe.
Lengo la ombi langu hilo ilikuwa kuepusha mkanganyiko na kudumisha Umoja na Mshikamano, Kwa sababu Kuna maisha baada ya Uchaguzi .
Kwa Bahati Mbaya Ofisi ya Katibu Mkuu ilinipuuza na kuwaachia watu wateme nyongo zao, Imekuja kustuka ikiwa muda ushapita, na kiukweli pande zote zinakashifiana, Lissu anapiga Spana kwa kusaidiwa na wanaomuunga mkono, na huku Wapambe wa Mbowe nao wakipiga spana upande wa pili, hakuna penye afadhali.
Siku zote Minyukano kwenye Chama kilicho hai ni ishara ya kukomaa kwa Demokrasia ndani ya Chama hicho, Lakini kushambuliana kwa kuvuka mistari ya Katiba ya Chama huo ni Uhuni na hatutakubali, Chadema siyo genge la Wavuta bangi.
Naunga Mkono Kuondolewa kwa Ntobi kwenye uongozi kwa kukiuka maadili ya Chama, kama Alijivunia Cheo chake mbona Wenyeviti wengine wa mikoa hawatukani, kwani wao hawahusiki na Uchaguzi huu au wao ni Wajinga?
Sasa maadam tumeamua kuadhibu Watovu wa nidhamu basi tusiishie kwa Ntobi pekee, tushughulikie na wengine wote wanaofahamika, Orodha yao ipo wazi kabisa na mimi ninayo.
Kikubwa ni kwamba Watakaposhughulikiwa tusianze kulialia na kuleta lawama, kama Katiba ya Chadema ni moja basi panga lililotumika kufyeka Ntobi, Lifyeke na Watukanaji wengine.
Mungu Ibariki Chadema.
Orodha iliyofikishwa kwenye Chama haiwezi kuwekwa hadharaniSasa si ungeweka orodha na matusi yao? Wewe hujui ila unataka watu waote tu? Ungekuwa na majina na ushahidi ungeweka hapa tum forwardie katibu na mwenyekiti
Nimemtukana nani?Huyo Red blood cell mwenyewe ni mfuasi mwaminifu wa Mzee Nkurunzinza aache kujikomba komba vipi na yeye achukuliwe hatua? ... Chadema wanamkanda bundi kizazi..
Ok. Kama ni hivyo basi huu uzi haukuwa na sababu. Maana mambo yanafanyiwa kazi nadhani unakusanywa ushahidi then mwenyekiti awafanyie kazi.Orodha iliyofikishwa kwenye Chama haiwezi kuwekwa hadharani
Wapi nimesema umetukana au nimekutaja?Nimemtukana nani?
Wanaoshughulika na Masuala ya uchaguzi ni ofisi ya Katibu Mkuu, mwenyekiti hahusikiOk. Kama ni hivyo basi huu uzi haukuwa na sababu. Maana mambo yanafanyiwa kazi nadhani unakusanywa ushahidi then mwenyekiti awafanyie kazi.
PumbavuMimi nilishauri sana Mbowe amfukuze Lissu kwenye chama chake mkanidharau... angalia sasa hivi mnateseka.. acha Lissu awavuruge tu hakuna namna.
Sawa. Ngoja tusubiriWanaoshughulika na Masuala ya uchaguzi ni ofisi ya Katibu Mkuu, mwenyekiti hahusiki
I think you are the Next!Nilionya Mapema kwamba ni vema hawa wanaoropoka na kutukana Wagombea wengine, Waitwe, Waonywe na wasamehewe.
Lengo la ombi langu hilo ilikuwa kuepusha mkanganyiko na kudumisha Umoja na Mshikamano, Kwa sababu Kuna maisha baada ya Uchaguzi .
Kwa Bahati Mbaya Ofisi ya Katibu Mkuu ilinipuuza na kuwaachia watu wateme nyongo zao, Imekuja kustuka ikiwa muda ushapita, na kiukweli pande zote zinakashifiana, Lissu anapiga Spana kwa kusaidiwa na wanaomuunga mkono, na huku Wapambe wa Mbowe nao wakipiga spana upande wa pili, hakuna penye afadhali.
Siku zote Minyukano kwenye Chama kilicho hai ni ishara ya kukomaa kwa Demokrasia ndani ya Chama hicho, Lakini kushambuliana kwa kuvuka mistari ya Katiba ya Chama huo ni Uhuni na hatutakubali, Chadema siyo genge la Wavuta bangi.
Naunga Mkono Kuondolewa kwa Ntobi kwenye uongozi kwa kukiuka maadili ya Chama, kama Alijivunia Cheo chake mbona Wenyeviti wengine wa mikoa hawatukani, kwani wao hawahusiki na Uchaguzi huu au wao ni Wajinga?
Sasa maadam tumeamua kuadhibu Watovu wa nidhamu basi tusiishie kwa Ntobi pekee, tushughulikie na wengine wote wanaofahamika, Orodha yao ipo wazi kabisa na mimi ninayo.
Kikubwa ni kwamba Watakaposhughulikiwa tusianze kulialia na kuleta lawama, kama Katiba ya Chadema ni moja basi panga lililotumika kufyeka Ntobi, Lifyeke na Watukanaji wengine.
Mungu Ibariki Chadema.
Karibu, utajua hujiiChadema kifutwe
Man Matusi sana πΌ
Nimetukana nani?I think you are the Next!
Nasema hivi kama nyie ni wanaume kweli mkateni muone muziki wakeNilionya Mapema kwamba ni vema hawa wanaoropoka na kutukana Wagombea wengine, Waitwe, Waonywe na wasamehewe.