Nimefurahishwa na Kitendo cha Ntobi kuvuliwa Uongozi, lakini hayuko Peke yake, kama Sheria ni msumeno basi kuna Wanaofuatia

Pole sana Mangi

Kwa kukusaidia Taasisi yoyote huwa unahitaji kuji brand kila baada ya muda ili ije na mwelekeo tofauti. Mara nyingi katika macho ya Watumiaji ( consumers) ni lazima uje na mkakati tofauti hata wa kimuonekano.
Mkuu chukua maua yako 💐💐💐
 
Mimi nilishauri sana Mbowe amfukuze Lissu kwenye chama chake mkanidharau... angalia sasa hivi mnateseka.. acha Lissu awavuruge tu hakuna namna.
 
Njmegundua hata mtoa hoja na wewe ni mnafiki tu yaani kidagaa Ntobi kimefutwa uongozi halafu TAL mnakuja kumfukuza uananchama. Kweli siasa za Kiafrika ni kuthamini matumbo yenu tu.

TAL anaundiwa ZENGWE aisee siasa za Kiafrika ni kichefuchefu sana. 😏😏😏
Huyo Red blood cell mwenyewe ni mfuasi mwaminifu wa Mzee Nkurunzinza aache kujikomba komba vipi na yeye achukuliwe hatua? ... Chadema wanamkanda bundi kizazi..
 
Nilionya Mapema kwamba ni vema hawa wanaoropoka na kutukana Wagombea wengine, Waitwe, Waonywe na wasamehewe.

Lengo la ombi langu hilo ilikuwa kuepusha mkanganyiko na kudumisha Umoja na Mshikamano, Kwa sababu Kuna maisha baada ya Uchaguzi .

Kwa Bahati Mbaya Ofisi ya Katibu Mkuu ilinipuuza na kuwaachia watu wateme nyongo zao, Imekuja kustuka ikiwa muda ushapita, na kiukweli pande zote zinakashifiana, Lissu anapiga Spana kwa kusaidiwa na wanaomuunga mkono, na huku Wapambe wa Mbowe nao wakipiga spana upande wa pili, hakuna penye afadhali.

Siku zote Minyukano kwenye Chama kilicho hai ni ishara ya kukomaa kwa Demokrasia ndani ya Chama hicho, Lakini kushambuliana kwa kuvuka mistari ya Katiba ya Chama huo ni Uhuni na hatutakubali, Chadema siyo genge la Wavuta bangi.

Naunga Mkono Kuondolewa kwa Ntobi kwenye uongozi kwa kukiuka maadili ya Chama, kama Alijivunia Cheo chake mbona Wenyeviti wengine wa mikoa hawatukani, kwani wao hawahusiki na Uchaguzi huu au wao ni Wajinga?

Sasa maadam tumeamua kuadhibu Watovu wa nidhamu basi tusiishie kwa Ntobi pekee, tushughulikie na wengine wote wanaofahamika, Orodha yao ipo wazi kabisa na mimi ninayo.

Kikubwa ni kwamba Watakaposhughulikiwa tusianze kulialia na kuleta lawama, kama Katiba ya Chadema ni moja basi panga lililotumika kufyeka Ntobi, Lifyeke na Watukanaji wengine.

Mungu Ibariki Chadema.
Mwenyekiti alishaweka wazi kama sii huu mchakato na kuwa watu watatafsiri ni kwa sababu kagombea uenyekiti basi lisu angeshaliwa kichwa
 
Huyo Red blood cell mwenyewe ni mfuasi mwaminifu wa Mzee Nkurunzinza aache kujikomba komba vipi na yeye achukuliwe hatua? ... Chadema wanamkanda bundi kizazi..
Mkuu sijakuelewa 🤔
 
Nilionya Mapema kwamba ni vema hawa wanaoropoka na kutukana Wagombea wengine, Waitwe, Waonywe na wasamehewe.

Lengo la ombi langu hilo ilikuwa kuepusha mkanganyiko na kudumisha Umoja na Mshikamano, Kwa sababu Kuna maisha baada ya Uchaguzi .

Kwa Bahati Mbaya Ofisi ya Katibu Mkuu ilinipuuza na kuwaachia watu wateme nyongo zao, Imekuja kustuka ikiwa muda ushapita, na kiukweli pande zote zinakashifiana, Lissu anapiga Spana kwa kusaidiwa na wanaomuunga mkono, na huku Wapambe wa Mbowe nao wakipiga spana upande wa pili, hakuna penye afadhali.

Siku zote Minyukano kwenye Chama kilicho hai ni ishara ya kukomaa kwa Demokrasia ndani ya Chama hicho, Lakini kushambuliana kwa kuvuka mistari ya Katiba ya Chama huo ni Uhuni na hatutakubali, Chadema siyo genge la Wavuta bangi.

Naunga Mkono Kuondolewa kwa Ntobi kwenye uongozi kwa kukiuka maadili ya Chama, kama Alijivunia Cheo chake mbona Wenyeviti wengine wa mikoa hawatukani, kwani wao hawahusiki na Uchaguzi huu au wao ni Wajinga?

Sasa maadam tumeamua kuadhibu Watovu wa nidhamu basi tusiishie kwa Ntobi pekee, tushughulikie na wengine wote wanaofahamika, Orodha yao ipo wazi kabisa na mimi ninayo.

Kikubwa ni kwamba Watakaposhughulikiwa tusianze kulialia na kuleta lawama, kama Katiba ya Chadema ni moja basi panga lililotumika kufyeka Ntobi, Lifyeke na Watukanaji wengine.

Mungu Ibariki Chadema.
Sasa si ungeweka orodha na matusi yao? Wewe hujui ila unataka watu waote tu? Ungekuwa na majina na ushahidi ungeweka hapa tum forwardie katibu na mwenyekiti
 
Huyo Red blood cell mwenyewe ni mfuasi mwaminifu wa Mzee Nkurunzinza aache kujikomba komba vipi na yeye achukuliwe hatua? ... Chadema wanamkanda bundi kizazi..
Nimemtukana nani?
 
Nilionya Mapema kwamba ni vema hawa wanaoropoka na kutukana Wagombea wengine, Waitwe, Waonywe na wasamehewe.

Lengo la ombi langu hilo ilikuwa kuepusha mkanganyiko na kudumisha Umoja na Mshikamano, Kwa sababu Kuna maisha baada ya Uchaguzi .

Kwa Bahati Mbaya Ofisi ya Katibu Mkuu ilinipuuza na kuwaachia watu wateme nyongo zao, Imekuja kustuka ikiwa muda ushapita, na kiukweli pande zote zinakashifiana, Lissu anapiga Spana kwa kusaidiwa na wanaomuunga mkono, na huku Wapambe wa Mbowe nao wakipiga spana upande wa pili, hakuna penye afadhali.

Siku zote Minyukano kwenye Chama kilicho hai ni ishara ya kukomaa kwa Demokrasia ndani ya Chama hicho, Lakini kushambuliana kwa kuvuka mistari ya Katiba ya Chama huo ni Uhuni na hatutakubali, Chadema siyo genge la Wavuta bangi.

Naunga Mkono Kuondolewa kwa Ntobi kwenye uongozi kwa kukiuka maadili ya Chama, kama Alijivunia Cheo chake mbona Wenyeviti wengine wa mikoa hawatukani, kwani wao hawahusiki na Uchaguzi huu au wao ni Wajinga?

Sasa maadam tumeamua kuadhibu Watovu wa nidhamu basi tusiishie kwa Ntobi pekee, tushughulikie na wengine wote wanaofahamika, Orodha yao ipo wazi kabisa na mimi ninayo.

Kikubwa ni kwamba Watakaposhughulikiwa tusianze kulialia na kuleta lawama, kama Katiba ya Chadema ni moja basi panga lililotumika kufyeka Ntobi, Lifyeke na Watukanaji wengine.

Mungu Ibariki Chadema.
I think you are the Next!
 
Nasema hivi kama nyie ni wanaume kweli mkateni muone muziki wake
 
Back
Top Bottom