Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

km kila kitu au nafsi lazima viumbwe je yeye aliyeviumba aliumbwa na nani? yeye alitokea wapi?
 
Hapo umeenda kinyume na uhalisia. Siyo tu kwamba nitakubali bali wewe ni mjinga tena muovu.
Kumbe kauli ya kusema akili salama sio ya kuaminika wala kuipa dhamana ya kukubali madai yanayopendekezwa kwasababu inaweza kutamkwa na mjinga yeyote

Kipi kinachokufanya ujione wewe sio moja ya wajinga wanaotumia neno hilo?
 
Shida yako unarukia rukia kauli bila kujua vigezo na masharti. Usiwe unapenda kusema tu,bali jua kwanza kisha useme.

Kinachonifanya nijione kuwa si katika wajinga sababu nina elimu juu ya kauli hiyo na sisemi tu ilimradi.
 
Ongeza umakini kijana. Sasa kama umetoka inakuwaje unapuyanga kijana ?
Hiyo ni personal interpretation, nami siwezi kukuzuia kutafsiri unavyotaka huu ni mjadala huru, kuna mwenzako kaniita mpagani, ye ndo kanitafsiri hivyo ntamzuia?
 
Shida yako unarukia rukia kauli bila kujua vigezo na masharti. Usiwe unapenda kusema tu,bali jua kwanza kisha useme.

Kinachonifanya nijione kuwa si katika wajinga sababu nina elimu juu ya kauli hiyo na sisemi tu ilimradi.
Mjinga yeyote anaweza kuongea hiki ulichokiandika, unafikiri itakuwa kigezo cha kutomfanya asionekane mjinga?
 
Kuna siku utaidownload na kuisoma,
 
Unayohaki yakufuta Biblia kwenye simu yako,sababu haiwezekani kuchanganya Biblia na bangi.
Ahahahaha.
Nimecheka sana
Ila mwenzangu umezidi, unaimba kwaya madhabahuni simu iliyojaa ngono umeweka mfukoni.
Eti umeziligia password
 
Mwambie achimbe shimo mahali penye kivuli kiasi, kisha aweke maji baridi.
Asiyatibue kwa muda wa miezi 12 atakuta kambare wameshakua.
Je, wameumbwa na nani?
 
Hawa wapuuzi hawajui hii Dunia Ina chembe chembe za uhai Toka mwanzo wake pale ulipojitokeza mfumo wetu wa jua hivyo Kuna viumbe vikikutana na Hali Fulani baada ya mchanganyiko wa element kinatokeza kiumbe!
 
Hao zamadamu walitokea wapi? a de novo synthesis, siyo? au miamba ilipasuka paaaaaaaaaaaa kiumbe kikatokea, waabudu shetani mna shida sana.....πŸ˜€
 
Hizo chembe za uhai asili yake ni nini?
 
Formula maalumu na mahesabu makali yaliwekwa na nani?
 
Hiyo ni personal interpretation, nami siwezi kukuzuia kutafsiri unavyotaka huu ni mjadala huru, kuna mwenzako kaniita mpagani, ye ndo kanitafsiri hivyo ntamzuia?
Na mimi nakuita wewe ni MJINGA. Unakataa ?
 
km kila kitu au nafsi lazima viumbwe je yeye aliyeviumba aliumbwa na nani? yeye alitokea wapi?
Ndo maana anaitwa Mungu Muweza (The Almighty God) hana mwanzo wala hana mwisho (Alfa na Omega).........is an everlasting God.
 
Mjinga yeyote anaweza kuongea hiki ulichokiandika, unafikiri itakuwa kigezo cha kutomfanya asionekane mjinga?
Nakupa miaka kumi ukikosoa nilicho kiandika naacha kutumia hii ID.

Hakuna mjinga anae weza kuandika hiki nilicbokiandika. Sababu nilianza kusoma kwanza na kuelewa kabla ya kuandika.

Naona mada imekushinda kijana.
 
Mwambie achimbe shimo mahali penye kivuli kiasi, kisha aweke maji baridi.
Asiyatibue kwa muda wa miezi 12 atakuta kambare wameshakua.
Je, wameumbwa na nani?
Kwa hiyo watu wa aquaculture hawana haja ya kuzalisha vifaranga vya samaki, ni kuchimba shimo tu samaki wanajizalishaπŸ™„
 
Ndo maana anaitwa Mungu Muweza (The Almighty God) hana mwanzo wala hana mwisho (Alfa na Omega).........is an everlasting God.
yeye mwenyewe alisema hivyo au mmesoma tu hadithi za watu?
 
Hizo chembe za uhai asili yake ni nini?
swali la kipuuzi sana hujui uhai una maana Pana,uhai hauhusishi viumbe hai tu Bali mfumo Wote wa galaxy yetu ni hai na sisi tupo Habitable zone sehemu ambayo inasapoti uhai Kwa viumbe automatically
Hivyo kama huyo Mungu yupo na ni kiumbe hai basi atakua sehemu ndogo sana katika mfumo na Hana ubavu wa kuumba chochote Labda kama ni mmoja wa Alliens aliyepandikiza uhai pahali ila kusema ndie aliyefanya formation ya Big bang ni Uwendawazimu mkuu!
 
Hao zamadamu walitokea wapi? a de novo synthesis, siyo? au miamba ilipasuka paaaaaaaaaaaa kiumbe kikatokea, waabudu shetani mna shida sana.....πŸ˜€
acha habari za kusadikika huyo shetani anaishi wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…