Hilo sio swala la kukufanya ushindwe kutoa hivyo vigezo, we toa halafu swala la ni kwa namna gani vinaweza kuthibitisha mungu yupo au hayupo niachie mimiNdio ueleze hivyo vigezo vya kumtambua Mungu wa kweli vitakusaidia nini kwenye swali nililokuuliza? Hebu niambie ili nijue
Hapana,kumbuka swali langu nililokuuliza hujalijibu hadi sasa ingekuwa rahisi tu ukalijibu kuliko unavyofanya tuzungushane, kinachoendelea sasa badala ya kujibu swali langu ndio kwanza unazidi kuniuliza mimi maswali na kibaya hata pale ninapokwambia kuwa hicho unachota nikujibu hakitasaidia kwenye lile swali nililokuuliza ambalo nasubiri jibu hadi sasa ila bado hunielewi.Hilo sio swala la kukufanya ushindwe kutoa hivyo vigezo, we toa halafu swala la ni kwa namna gani vinaweza kuthibitisha mungu yupo au hayupo niachie mimi
Huu muda uliotumia kuandika haya maelezo ambayo yamejikita kwenye malalmiko, ina maana huoni kufanya hivyo ni kuzidi kufanya mzunguko uwe mkubwa zaidi?Hapana,kumbuka swali langu nililokuuliza hujalijibu hadi sasa ingekuwa rahisi tu ukalijibu kuliko unavyofanya tuzungushane, kinachoendelea sasa badala ya kujibu swali langu ndio kwanza unazidi kuniuliza mimi maswali na kibaya hata pale ninapokwambia kuwa hicho unachota nikujibu hakitasaidia kwenye lile swali nililokuuliza ambalo nasubiri jibu hadi sasa ila bado hunielewi.
Mungu haonekani kwa macho na hajawai kuonekana bali tunamwona kupitia matendo yake.Sasa sidhani kama mtu kuamini kua kuna Mungu aliyesababisha mambo yanayoonekana dunia yakawepo inahitaji mjadala mkubwa.Kila mtu akijiuliza kivyake kwa yale anayotmyaona inatosha na atapata jibu sahihi kuhusu Mungu kuliko angesoma mawazo ya watu wengine.Kama ukitaka kuwa daktari lazima uende kusoma ili upate huo ujuzi huwezi kukaa tu ukatafakari mwenyewe na ukapata ujuzi wa kuwa daktari, sasa najiuliza kila mtu akikaa na kutafakari kivyake kuhusu mungu si kila mtu atakuja na maelezo tofauti na mwenzake kuhusu huyo Mungu? Maana hatufanani mawazo.
[emoji23][emoji23][emoji23]a hunter becomes a prey
Akili kubwaBora uamini yupo af ukifika usimkute..Kuliko kuamini hayupo mara paap!! Yule paleee sijui itakuaje??
Hata ukiamini Mungu yupo mbona haikuzuii kufanya mambo yoyote unayotaka!???
Binadam aliyekamilika anapaswa kuishi kwa ustaarab flan na utaratibu hata kama haamini Mungu.
Haya sasa umeamua kutoamin, inakusaidia nini??au inakuongezea nini ambacho hukua na fursa kuki parsue...Ulipokua ukiamin, ni kitu gan ulikua unapungukiwa??
Una unaishi kwa kukariri??
Kuamini kuwa kuna Mungu ni jambo moja na hilo sio shida yetu hapa, shida ni kwamba ni yale mambo yenye kumuhusu huyo Mungu mfano mwengine atakwambia Mungu aliumba huu ulimwengu ila hajihusishi na yanayoendelea ulimwenguni ila mwengine anaona Mungu anahusika na yanayoendelea ulimwenguni,mwengine anaona Mungu anahitajika kuabudiwa ila mwengine anaona hakuna hitaji la kumuabudu Mungu.Mungu haonekani kwa macho na hajawai kuonekana bali tunamwona kupitia matendo yake.Sasa sidhani kama mtu kuamini kua kuna Mungu aliyesababisha mambo yanayoonekana dunia yakawepo inahitaji mjadala mkubwa.Kila mtu akijiuliza kivyake kwa yale anayotmyaona inatosha na atapata jibu sahihi kuhusu Mungu kuliko angesoma mawazo ya watu wengine.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mimi nimeeleza vizuri kabisa kwamba wewe haukubaliani kabisa na mtazamo wa kuwepo Mungu na uthibitisho unaoutaka wewe ni wenye kuthibitisha kama Mungu yupo kweli na si mungu yupi ni wa kweli. Kama ulivyosema kuwa katika hiyo miungu 5000 kila mtu anadai mungu ni wa kweli na kiuhalisia haiwezekani wote wakawa sahihi, sasa tukianza kujadili hayo itasaidia nini kwenye uthibitisho wa kutaka kujua huo uwepo wa Mungu kama upo kweli au haupo?Huu muda uliotumia kuandika haya maelezo ambayo yamejikita kwenye malalmiko, ina maana huoni kufanya hivyo ni kuzidi kufanya mzunguko uwe mkubwa zaidi?
Wewe umesema kwamba vigezo ulivyotumia wewe kuthibitisha mungu wako wa kweli havitanisaidia mimi, ulitaka mimi nikukubalie tu kirahisi pasipo kunipa hivyo vigezo nione ili namimi nijihakikishie kua kweli haiwezekani?
Palikuwa na ugumu gani wa wewe kuweka hivyo vigezo halafu na mimi nikajionea ni kwa namna gani vigezo hivyo vioneshe mungu wa wengine ni waongo halafu ni kivipi vigezo hivyo vishindwe kutoa hayo hayo kupitia sheria hiyo hiyo uliyotumia kuona mungu wako ni wa uongo?
Unapimaje kujua maelezo uliyotoa yameeleza vizuri?Mimi nimeeleza vizuri kabisa kwamba wewe haukubaliani kabisa na mtazamo wa kuwepo Mungu na uthibitisho unaoutaka wewe ni wenye kuthibitisha kama Mungu yupo kweli na si mungu yupi ni wa kweli. Kama ulivyosema kuwa katika hiyo miungu 5000 kila mtu anadai mungu ni wa kweli na kiuhalisia haiwezekani wote wakawa sahihi, sasa tukianza kujadili hayo itasaidia nini kwenye uthibitisho wa kutaka kujua huo uwepo wa Mungu kama upo kweli au haupo?
Kwahiyo naepusha kuingia kwenye mjadala ambao hautosaidia kwenye swali la msingi nililokuuliza.
Huwa unapenda kubishana bila kujali unabishania nini huwa unahisi unauweza sana ubishi?Unapimaje kujua maelezo uliyotoa yameeleza vizuri?
Nikikuambia maelezo yako hayakujieleza ipasavyo na ndio maana nikaomba unipe hizo criteria utasemaje?
View attachment 2099557
Sasa nimeamini kuwa dini ni kwaajili ya maskini na waoga tu.
Mpaka leo hakuna mwanadamu au kitu chochote ikiwemo Mungu alitethibitisha kuwa Mungu yupo.
Kila mtu atakuthibitishia kwa maandiko ambayo yameandikwa kwa mkono wa mtu.
Ukiondoa maandiko hakuna mtu wa dini kukuthibitishia uwepo halisi wa Mungu.
Waislamu kwa kitabu chao watakuthibutishia uwepo wake, Wahindu, Wabudha, Waktisto n.k watakuthibutishia uwepo wa Mungu kwa maandiko na hadithi tu ila hawataweza kukuthibitishia kwa njia nyingine ya reality.
Kwa taabu wanazopata watu duniani ni kama nature ndio inatawala.
Haiwezekani Mungu ambaye wanasema aliupenda ulimwengu aruhusu vita, ubakaji, kuchinjana, kudhulumiana, ufukara, njaa n.k huku hivyo vitu ni vidogo kwake angevikomesha ndani ya sekunde.
Je, Mungu kazidiwa utu na upendo na mwanadamu?
Hii amani na hali ya maendeleo tunayoiona ni fikra na utu wa binadamu kwa ulimwengu.
Binadamu anaunda mabaraza ya kitaifa kupambana na majanga mbalimbali, pasipo na haya mabaraza Dunia isingekalika kabisa kwa idadi hii ya watu ilivyo kwa sasa.
Illusion ndizo zinatawala watu ndio maana kila dini na dhehebu wanajiona kuwa wako sahihi na wana ushahidi kuwa dhehebu lao ndilo sahihi mbele za Mungu na wao tu ndio wataingia mbinguni au peponi.
View attachment 2099556
ambacho ni nini? na chanzo cha chanzo chako ni nini? endelea kurudi nyuma na hili swali kwa kiasi uwezavyo alafu ulete jibu hapa tuendelee.chanzo changu ni kama chanzo chako ACHA kujitoa fahamu Kwa maswali ambayo majibu unayo!
Ni kweli, wakati mwingine unapatwa na masumbuko mpaka unajiuliza, hivi mungu yupo kweli. Ukweli ni kwamba kama huna mambo ya uchawi, hatuna kwingine kwa kukimbilia, ni kwa mungu tuu. Usingeifuta, tunapumzikaga, baadae unarudiView attachment 2099557
Sasa nimeamini kuwa dini ni kwaajili ya maskini na waoga tu.
Mpaka leo hakuna mwanadamu au kitu chochote ikiwemo Mungu alitethibitisha kuwa Mungu yupo.
Kila mtu atakuthibitishia kwa maandiko ambayo yameandikwa kwa mkono wa mtu.
Ukiondoa maandiko hakuna mtu wa dini kukuthibitishia uwepo halisi wa Mungu.
Waislamu kwa kitabu chao watakuthibutishia uwepo wake, Wahindu, Wabudha, Waktisto n.k watakuthibutishia uwepo wa Mungu kwa maandiko na hadithi tu ila hawataweza kukuthibitishia kwa njia nyingine ya reality.
Kwa taabu wanazopata watu duniani ni kama nature ndio inatawala.
Haiwezekani Mungu ambaye wanasema aliupenda ulimwengu aruhusu vita, ubakaji, kuchinjana, kudhulumiana, ufukara, njaa n.k huku hivyo vitu ni vidogo kwake angevikomesha ndani ya sekunde.
Je, Mungu kazidiwa utu na upendo na mwanadamu?
Hii amani na hali ya maendeleo tunayoiona ni fikra na utu wa binadamu kwa ulimwengu.
Binadamu anaunda mabaraza ya kitaifa kupambana na majanga mbalimbali, pasipo na haya mabaraza Dunia isingekalika kabisa kwa idadi hii ya watu ilivyo kwa sasa.
Illusion ndizo zinatawala watu ndio maana kila dini na dhehebu wanajiona kuwa wako sahihi na wana ushahidi kuwa dhehebu lao ndilo sahihi mbele za Mungu na wao tu ndio wataingia mbinguni au peponi.
View attachment 2099556
Hili linaingiaje kwenye mjadala ambao umeombwa ulete hizo criteria ambazo wewe umedai ndizo zinazokuwezesha kujua uwongo na ukweli?Huwa unapenda kubishana bila kujali unabishania nini huwa unahisi unauweza sana ubishi?
Dunia nzito sana, haieleweki kabisa
Kwa mamlaka ya Yesu natamka nguvu ikushikie.Na utakuwa MTU wa kwanza Ulipo kuona Ukuu wa Mungu.Tubu Leo mambo yako yote yatakuwa sawa futa kauli chafu
Tume stuck hapa sababu ya wewe kutokujibu swali nililokuuliza na matokeo yake umenigeuzia mimi hilo swali.Hili linaingiaje kwenye mjadala ambao umeombwa ulete hizo criteria ambazo wewe umedai ndizo zinazokuwezesha kujua uwongo na ukweli?
Ukishindwa kuleta hizo criteria unaweza ukasema sizijui na tukaondoka kwenye hicho kipengele tukahamia sehemu nyingine
Tume stuck hapa ni kwasababu umesema unazo, ulipoombwa uzitoe umeshindwa, na kukiri kwamba huzijui hutaki, sasa unataka kufanya mjadala wa kihuni wa ku flip hoja tuanze bishana vitu vilivyo nje ya mada jambo ambalo mimi siwezi kukuruhusu ulifanye
Acha mikwara wewe, thibitisha kwa maelezo yaliyo nyooka tuamini kwamba huyo MUNGU yupo.Unakubali kama wewe ni MJINGA ?