Hilo wazo mimi naona lita kucost sana, hivi radio call bei zake si ni kubwa au? sababu simu hata 10000 unapata radio call je? ulizia bei kwanza kama poa mnunulieNi kweli aisee wazo zuri kwa kweli
Hata hivyo nafkiri atakua yupo njiani anakuja na hapa pia, mimi huwa najiuliza kwanin mtu kila tatizo lako untaka watu wajue, mfano ile siku ya akina mama duniani utakuta mtu hamkumbuki mama yake siku zote, ila ikifika ile siku ndio mapenzi yana zidi kwenye mtandao, eti utamskia mtu "i love you my momy no one like you" nani kasema upendo ni wasiku moja kama sio unafiki
mnyang'anye simu halafu mnunulie redio kolu...
Jaribu tena usimchoke,wanawake wanapenda kubembelezwaNishamuonya sana mdau ila hanielewi kwa hyo kwenda nae sawa ndo nikaamua maamuzi hayo
Mna kazi na hizo whatsapp zenu
Jamani ni mapenzi tu,wala usishangaeha ha ha nimecheka mkuu mpaka najiuliza hivi MTU mpaka ukafukunyue status za whatsapp unatafuta nini......
Akikuekea Umalaya utakuua mueke..Yalikushinda ndio nikafata Malaya......Wadau ilishaletwa thread hapa kuhusiana na hizi status na profile picha za watsap, mkewangu ni muathirika wa hili, status zake za ovyo yan kana kwamba hajaenda shule,
Profile picha zake ndo usiseme ni balaa, yan tukikwazana kidogo tu ananimaliza kwenye status za ajabu jaman, mara utaona "umalaya utakuua", mara "ukianzisha nalianzisha" mpaka nachoka jaman, sasa mi nimeamua kufuta tu namba yake na wala si save tena yeye pamoja na watu wengine wenye tabia kama hzo ilimradi nusione tu upuuzi wao kudadadeki zao.
Jamani ni mapenzi tu,wala usishangae
ooops kumbe nilikuwa sijui makao yake makuu yanapatikana wapi labda?
Yaani kitochi kitamfaa sanaAu tumzawadie kitochi mdau
wanakazi au hawana kazi??
teh teh teh