Nimefuta namba ya mke wangu, na watu wengine wenye tabia kama hizi



Kuna watu ofisini nasikiaga wakisema ooh msanii fulan kaweka status hii whatsapp Mara picha ile mwingine atakwambia umeona status na profile pic yangu whatsapp? Ha ha ha wabongo akili bado Sana huyo zukerbeg aneweka na sehemu ya like maana wajinga wanahangaika sana
 
Mimi kumbe bado mshamba? Status yangu mimi ni ileile tangu nianze kutumia wasapu. Kumbe kuna watu mko bize na wasapu? Realy? Serious?

Teh teh teh

Halafu hizi akili ndo zitaleta maendeleo TZ...
Ha ha ha usishangae Sana mkuu maana ukisikia mengine utazimia Kama Yale ya BMK kutaka wanaume watetewe haki zao kwenye katiba wasionewe na wake zao...

Aisee tunatisha,!!!!!
 
Wewe nae binamu leo hii unajua kiswahili kunizidi mie????.....lol.Upo lakini?

Nipo binamu namalizia likizo Yale majukwaa yetu ya SIASA yameingiliwa na funza that's why siku hizi naperuz huku kusogeza siku....

Salama lakini??
 
Hilo wazo mimi naona lita kucost sana, hivi radio call bei zake si ni kubwa au? sababu simu hata 10000 unapata radio call je? ulizia bei kwanza kama poa mnunulie

Kama ameshazoea mipasho kwenye whatsap hiyo COLU hata umuwekee panga shingoni hataitumia.....
 

Kuuliza si ujinga huenda mimi nimepitwa na wakati, kwani zile status za wasapu nazo ni za watu kucomment? Maana mimi nachukulia tu tag ya wisdom words au mtu ajuwe mimi ni mtu ninaeamini nini.

Thats why status yangu wasapu ni moja tu na sijawahi kubadiri pia magroup kwenye wasappu sitaki pia sipendi kuwa mtumwa wa simu yangu mwenyewe.
 
Nishamuonya sana mdau ila hanielewi kwa hyo kwenda nae sawa ndo nikaamua maamuzi hayo

Kufuta nmba cdhani km ni jambo jema chakufanya...Isave nmba yake then mBLOK kila akiangalia profile yako hata km ni wk anakuta muda ule ule uliomBLOK so anajua hujaingia whatsapp...lkn ukifuta nmba zake ukiingia yy anajua muda gani umetoka so anaongeza vijembe mi nilimkomesha mwanadam mmoja hadi leo katulia...Pole ndg....
 
Tatizo hupendi kuambiwa ukweli.

Ngoja aanze kujifunga kanga zenye mipasho haswa....sijui utakuwa unazifuta maandishi au kuzificha?
 
unamsusia muhaya senene??
 
 

Naona ingewezekana Ku comment ingekua hatari japo haiwezekani...

Ni ushamba tu Wa watu mkuu...
 
mpaka tuje tufikie malengo ya "millenia"...tutasikia na kushuhudia mengi...
...ila am doubting na uelewa wa huyo unaemwita mke...STILL CHILDISH
 
"kuliko kioze bora nimpe jirani"
"jirani nipe utamu hadi aone wivu"
na hizi ni status pia...
 
Tobah kwani whatsapp ndo nini mie mgeni hapa!!

Kuna wakati huwa watu wanatafuta matusi wenyewe.

Anyway check ndani ya pichu yako kwa.nyuma utaiona whatsapp ikiwa na profile pic iguse kidogo utaona inatoa whatsapp status.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…