Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,184
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaona Cha ajabu hapo.....be positive.Wasalaam wapendwa.
Kuna page kama mbili hivi za INSTAGRAM nilianza kuzipitia wiki kama moja hivi iliyopita mpaka siku leo.
Sasaivi nna 30 years age ila nimejikuta nafsi inaniambia kwa dhati kabisa kuwa "USIOE UTAKUFA KABLA YA WAKATI WAKO".
Wanawake ni viumbe wakatili sana sikuwahi kujua, tena hapaswi kuonewa huruma hata chembe.
Hizi page za instagram nnazo sema zina majina ya dr_ushaur na nyingine inaitwa mr_misifaaa
Hizi page zote wanawake wenu wanatoa ushuhuda/ungamo au wao wanaita confessions kuhusu matukio waliyoyafanya,wanayoyafanya na wanayoendelea kuyafanya.
Yaani matukio yao ni ya ukatili wa kiwango ambacho sijawahi kudhania kuwa mwanamke anaweza kufanya, hawa watu ni mashetani sana.
Haya matukio siyo ku-edit kwa sababu wahusika wa hizo page/account hawaandiki upia bali wana screen shot sms walizotumiwa DM na wahusika kama zilivyo na kuzi post kwenye page zao.
Narudia tena wanawake hasa walioko kwenye ndoa ni wakatili hamna mfano na wala hampaswi kuwaonea huruma hata chembe.
Sitaki kuongea sana maana mtasema nna chuki nao binafsi, ingieni wenye hizo page nilizozitaji hapo juu mkajionee wenyewe jinsi wake zenu wanavyo usema ukatili wao huku wakiomba wafichiwe utambulisho wao.
My brothers nendeni mkaangalie ukatili mnao fanyiwa na wake zenu huku nyie mkijipa moyo kuwa mke wangu ni mtulivu sana.
Imagine mke wa mtu anakiri wazi kabisa kuwa ana watoto wa 5 na wote siyo wa mmewe na mmewe anajua ni wake, mwanamke ameolewa anakuambia ni mwaka wa 10 ana cheat na kila anapoenda ku cheat huwa anamlipa mwanaume 200k ili amafumue vizuri hadi marinda.
Yaani huko kuna ushuhuda wa mabinti kutembea na baba zao wa kuwa zaa, vijana kutembea na mama zao wa kuwa zaa, wake za watu kuliwa kisamvu na michepuko n.k
Nendeni mkajionee wenyewe mimi hamu ya kuoa sina tena.
Najuta kuifahamu page ya dr_ushaur na mr_
😀😀😀Unachokitafuta ndo huwa unakiona siku zote .
Wanawake wazuri wapo the same wanaume .
Ungejua kuwa mambo negative ndo hufatiliwa na watu ambao ni negative
Mfano sio ajabu ukamkuta huyo Dr ushaur anaishi vizuri yeye pamoja na familia yake kupitia hela zenu.
Wanaume wana afadhali.Mbona hata wanaume wana confesse huko tena mambo mabaya ya kutisha
Na sisi tutasema hatutaki kuolewa [emoji3][emoji3]
Mnafata nini huko....Wanaume wana afadhali.
Nyie mmezidisha ukatili mno, wanaume sawa wana cheat labda.
Maana case kubwa ya mwanaume ni ku-cheat.
Ila za wanawake duuh...Mungu anawaona.
Yaani mwanamke anafanya tukio mpaka unaanza kujisemea hivi "huyu ni binadamu wa kawaida kama wengine kweli " ?
Kwamba wanawake wa wakati ule ni sawa ki maadili na waliopo leo ?Baba yako angekuwa na akili zako, wewe ungetoka wapi?
MhuuuuIt seems to be real
Aisee kitu nimekuja kugundua pia ni kwamba "usiombe mwanamke alipe kisasi, yaani utaona shetani ni cha mtoto"bado kuna TRUTH from tiktok
😂😂 wanaambiana huko mwanamke ukipata nafasi ya revange,, revange mpk shetani asogee pembeni.
😂bado kuna TRUTH from tiktok
😂😂 wanaambiana huko mwanamke ukipata nafasi ya revange,, revange mpk shetani asogee pembeni.
Kwamfano hiyo case ya huyo aliyezaa watoto wa 5 nje ya ndoa tuchukulie wewe ndio mumewe unaisolve vipi mkuu, naomba kujifunza kupitia wewe.Kwa akili hizo bora tu usioe maana huna sifa za kuwa Mume wa mtu.
.
Sikuzite Mume wa mtu ana_face challanges zilizopo mbele yake na kuzitatua na sio kuogopa asa inashangza sana wewe unaogopa kuoa lkn unadates na wanawake hao hao wenye maboko kama hayo.
.
Unakuta unadate na girl unampa kila kitu kama baba yake na bado unasema unaogopa kuoa wakat umeoa pasipo kujijua...
Vipi Kuna zawadi ya mchumba.....?Hivi kuna mwanaume ana miaka 30 na bado hajaoa🤔
Nashangaa kuona mwanaume aliyefikisha 30 yrs na bado hajaoaVipi Kuna zawadi ya mchumba.....?
Eeeeh, mbona wengi tu..wanaume wanasema life begin at 40Nashangaa kuona mwanaume aliyefikisha 30 yrs na bado hajaoa
Visungura starehe ya watu Babu. Viheshimiwe.Tumia akili we mbibi hii ni karne ya 21 sio ya 20 mliyoishi nyinyi kama visungura