Nimeghairisha kuoa baada ya kupitia page za watoa ushauri na confessions za matukio ya mahusiano

Nimeghairisha kuoa baada ya kupitia page za watoa ushauri na confessions za matukio ya mahusiano

Wasalaam wapendwa.

Kuna page kama mbili hivi za kupitia instagram nilianza kuzipitia wiki kama moja hivi iliyopita mpaka siku leo.

Sasaivi nna 30 years age ila nimejikuta nafsi inaniambia kwa dhati kabisa kuwa "usioe utakufa kabla ya wkati wako".

Wanawake ni viumbe wakatili sana sikuwahi kujua, tena hapaswi kuonewa huruma hata chembe.

Hizi page zote wanawake wenu wanatoa ushuhuda/ungamo au wao wanaita confessions kuhusu matukio waliyoyafanya, wanayoyafanya na wanayoendelea kuyafanya.

Yaani matukio yao ni ya ukatili wa kiwango ambacho sijawahi kudhania kuwa mwanamke anaweza kufanya, hawa watu ni mashetani sana.

Haya matukio siyo ku-edit kwa sababu wahusika wa hizo page/account hawaandiki upia bali wana screen shot sms walizotumiwa DM na wahusika kama zilivyo na kuzi post kwenye page zao.

Narudia tena wanawake hasa walioko kwenye ndoa ni wakatili hamna mfano na wala hampaswi kuwaonea huruma hata chembe.

Imagine mke wa mtu anakiri wazi kabisa kuwa ana watoto wa 5 na wote siyo wa mmewe na mmewe anajua ni wake, mwanamke ameolewa anakwambia ni mwaka wa 10 ana cheat na kila anapoenda ku cheat huwa anamlipa mwanaume 200k ili amfumue vizuri hadi marinda.

Yaani huko kuna ushuhuda wa mabinti kutembea na baba zao wa kuwa zaa, vijana kutembea na mama zao wa kuwa zaa, wake za watu kuliwa kisamvu na michepuko n.k.
Hahaha
 
Hivi hao wanawake wanaosemwa kila siku, wanacheat/kudate na vijana pekee wasiooa au sometimes na waume za watu?? Kama jibu ni wanadate waume za watu kwann wanahukumiwa wao pekee? Na hawaangaliwi wake waliosalitiwa???
 
Baba yako angekuwa na akili zako, wewe ungetoka wapi?
Mtoa mada kashibba ubwa bwa maharage anajaza server tu sasa kama confusion mbona unaendelea na uzinz jizuie turned unavopingana na nature kinyume na hapo leo umevibiwa
 
Wewe nadhani unaelewa kama ushapita hiyo page.

Kuna watu wanadhani nafanya tangazo ili wakawaongezee followers.

Ila ukweli hiyo page imenifanya nikiona wanawake mpaka mwili unazizima.

Yaani kwa kifupi sasahivi naona kila mwanamke ni LUCIFER aliyejificha kwa umbo la mwanamke ili amuangamize mwanaume.

Kuna kosa moja niliwahi kulifanya huko nyuma mwaka 2015 (nilimsaidia girl friend wangu kutoa mimba) na huwa najuta mpaka leo kwamba nilishiriki kwenye dhambi kubwa sana.

Ila nilikutana na hiyo confession moja kwa dr_ushaur dada anasema ameshatoa mimba 7 (za mwanaume mmoja) na sasahivi ameshika ya nane na bado mwanaume wake anamwambia aitoe tena, aisee mpaka simu yangu ilianguka chini kwa kutetemeka.
Dr ushauri ipo pande zipi nikapotezee muda huko?
 
Nishauri kama kijana mwenye future hapa nchini,jitahidini ku focus kwenye kilimo na ufugaji pale bonde la mto rufiji enyi vijana wa kitanzania, ndoa tuachieni sisi walume
 
Back
Top Bottom