Nimeghairisha kuoa baada ya kupitia page za watoa ushauri na confessions za matukio ya mahusiano

Sijaona Cha ajabu hapo.....be positive.
Tafiti walio nafuraha kwenye ndoa......................
18 Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.
Mwanzo 2:18
 
😀😀😀

Kwenye hela zetu ni kweli, maana pia huwa anakutanisha wachumba VIP unalipia alafu unakutanishwa na mtu mwenye sifa unazozitaka.

Pia huwa naona anasema muwe mnakuna kuchitia kwenye appartment zangu (dr appartment).


Kwa hiyo yeye anapiga pesa
 
Mbona hata wanaume wana confesse huko tena mambo mabaya ya kutisha

Na sisi tutasema hatutaki kuolewa [emoji3][emoji3]
Wanaume wana afadhali.

Nyie mmezidisha ukatili mno, wanaume sawa wana cheat labda.

Maana case kubwa ya mwanaume ni ku-cheat.

Ila za wanawake duuh...Mungu anawaona.

Yaani mwanamke anafanya tukio mpaka unaanza kujisemea hivi "huyu ni binadamu wa kawaida kama wengine kweli " ?
 
Mnafata nini huko....
 
Kwa akili hizo bora tu usioe maana huna sifa za kuwa Mume wa mtu.
.
Sikuzite Mume wa mtu ana_face challanges zilizopo mbele yake na kuzitatua na sio kuogopa asa inashangza sana wewe unaogopa kuoa lkn unadates na wanawake hao hao wenye maboko kama hayo.
.
Unakuta unadate na girl unampa kila kitu kama baba yake na bado unasema unaogopa kuoa wakat umeoa pasipo kujijua...
 
Kwamfano hiyo case ya huyo aliyezaa watoto wa 5 nje ya ndoa tuchukulie wewe ndio mumewe unaisolve vipi mkuu, naomba kujifunza kupitia wewe.
 
Sio kila unachokiona kwenye social ni real
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…