Nimegombana na Mke wangu leo mpaka nimeshangaa

Kama mimba haimsumbui basi mkeo ni mvivu kupitiliza, Hivi kwanini mtu upende kukaa nyumbani tu bila kujishughulisha? na wewe kwa upande wako ni mkosa uvumilivu wa kiwango cha kimataifa.

Mmekutana!
 
Kwanini unashabikia kwa nguvu hivyo kuwa arudishwe kwao? una maslahi binafsi na ndoa hii?

Heri wapatanishi....
 

Sawa umeeleweka lakini kaafikilia twice
 
Mkuu KAWAIDA SANA. Wala usiogope , hata yeye amejibu vyte hvo kwasababu ya mimba.
Guy relax, ukiamua aende kwao it’s okay pia, usimind.
Good aisee.. umenikumbusha sana hii situation. Mpka nimefurahi.
Ila trust me one day atakuja atasema, kisirani cha mimba. Pole na hongera😂😂🙏🏿
 
Tuliosoma cuba tushajua mkuu,kwahyo beki 3 atakaim madaraka au?
 
Vyema sana mrejeshe kwao
 
Mkuu mimba ni uginjwa, and mwanamke akiwa na mimba lolote analoliamua mwache and msaport, sana ukirudi ungemtoa out kutembea naye afanye mazoezi. Ama umchukue mwende dukani, huwezi jua anaweza kufika dukani akapachukia ndo maana haendi
 
Sijaona kosa lolote kwa mtoa mada ,, kiukweli kaonge ukweli na ndio inatakiwa hivyo,, shida mjini watu wanapenda dezo Sana, hujawahi kuona mtu hana miguu anapambana hana macho anapambana

Sasa wewe mimba tu unajiona mgonjwa hujawahi kuona mtu anamimba ya miezi 7,8 mpka 9 mtu anafanya kazi ilihali ndio mazoezi hayo ,, ndio maana sahizi uzazi wa kisu ndio imekua dili ..
 
Mkuu ni tabia ya mkeo ila imejificha Kwa mgongo wa mimba.

Kuna jamaa mkewe alikua hampikii Kwa kisingizio mafuta yanampelekea kutapika ila yeye hakuwahi shinda na njaa alikua anajipikia vyakula anavojua yeye🤣🤣 Jamaa Kila akirudi anakuta bila bila afu mke anaangalia tv Hana habari.

Mwamba Kuna siku alimkata makofi na mimba yake mpaka kesho akawa anapikiwa safi na mafuta hayakuwahi mdhuru Tena mkewe😀😀😀
Mimba sio ugonjwa
 
Huyu sio mtu baki ni mkewe.
Bila shaka kabla ya mimba alichakarika.
Hamuwezi kuelewa anachopitia huyo mwanamke kwasasa
 
Ila wanawake wengine wanapitia magumu jamani, Ukiachana na kosa alilofanya la kukupandishia sauti, kwanini umemwambia utamrudisha kwako? Hii kurudishwa kwao ni adhabu au maonyo au ni aina nyingine ya unyanyasaji?

Kwao ni kubaya au ni porini?

Mi niliaga kwenda kwetu nikipata likizo sikujibiwa mtu kajifanya hajanisikia kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…