Nimegombana na Mke wangu leo mpaka nimeshangaa

Tumia saikolojia mwambie asikae home atakosa nguvu za kusukuma.
Wanaochakarika hadi mwisho wengi hawachezi na visu yaaani wakifika tu pya.
Mimi wife hadi siku anaenda kushusha alikuwa bandani anahudumia kuku kaamka alfajiri, kufika Saa nne haya twende hospital akagoma kupanda gari tukaenda Mdogo mdogo tukachukua daladala hao Muhimbili, Saa saba, Saa saba na nusu sauti ya kichanga. Kesho yake tumerudi home familia imeongezeka
 
Huyu sio mtu baki ni mkewe.
Bila shaka kabla ya mimba alichakarika.
Hamuwezi kuelewa anachopitia huyo mwanamke kwasasa
Ni sahihi kabisa lakini haimpendezi mwanamke mjamzito kukaa mda mrefu bila kujishughulisha kwa chochote ,, kwamaana anaweza hata kuumwa au atapata shida wakati wa kujifungua , anatakiwa ajitahidi japo siku moja moja kua anatembea tembea na kufanya kazi yoyote ili kumpa hali nzuri ya ukuaji wa mtoto...
 
hata wewe nakushauri, usiamue kwa hisia itakukosti, tumia akili

halafu hiyo heri wapatanishi si imeandikwa kwenye biblia, shtuka!
Ndo nakwambia heri wapatanishi.... Biblia imesisitiza upatanishi.

Haya we kwanini unashadadia kwa nguvu hivyo huyo dada arudishwe kwao? Nimeuliza ikiwa una maslahi binafsi na hiyo ndoa? Au unataka uolewe wewe, au na wewe umerudishwa unataka muwe wawili mliorudishwa?

Jifunze kutoshadadia ugomvi wa ya
watu hasa wapenzi/wanandoa.
 
Mkuu mimba ni uginjwa, and mwanamke akiwa na mimba lolote analoliamua mwache and msaport, sana ukirudi ungemtoa out kutembea naye afanye mazoezi. Ama umchukue mwende dukani, huwezi jua anaweza kufika dukani akapachukia ndo maana haendi

Hamna kitu kama hiko, tatizo la kuwadekeza hao wanawake zenu na kujifanya mnaishi kisasa ndo shida inapoanzia hapo, mimi nimeshuhudia wanawake wengi tu akiwemo Mke wangu mpaka kesho anaenda kujifungua bado yupo gado
 
Uko sahihi but jamaa katumia very poor approach.
Angepaswa wayaongelee mezani wakifurahi.
Unajua simu haiwezi kutengeneza mambo kama mtakavyofanya face to face
 

yale yale unatumia hisia zaidi kwa kuwa ni mwanamke mwenzako, umeona wapi kwenye maelezo kosa la jamaa mpaka mwanamke aseme ananyanyaswa na bla bla nyinginezo, ungeanza kumwambia jamaa asilete magomvi ya ndoa yake humu lakini kama ameleta anaomba ushauri nitamshauri na huna cha kunifanya
 
Uamuzi wa kiume huu. Niliwahi kufanya hivi, baada ya miezi miwili alirudi amenyooka
 
Mkuu kwa hizo lawama za upande wako peke yako hazitoshi kutoa hukumu.

TungemskiA nA yeye anasemaje kukuhusu. Ila ungekua na nia Kweli usingekuja huku kuandika.. Kifupi kwa sasa mwenzio anaona kuwa urembo wake umeshuka daraja ndiyo maana anashindA ndani.

Cha kufanya acha maneno endeleA kumpa unyumba Tena Kila siku nyege nazo huleta hasira. Usimrudishe kwao mimba ni neema kubwa. Halafu punguza gubu mpelekee motoo ....
 

Shikilia hapo hapo japo nahisi ulishabugi step moja nyuma. Mke umemuendekeza sana coz kama mpo wawili tu hamna mtoto, binafsi sijaona sababu ya kuwa na beki3.

Hapo ndo ulipoanza kunyeshewa mvua.
 
Kwakweli hali ni tete kunarfaikiyangu alikuwa mjamzito hali dagaa na mie sijui hekaheka za mimba nikawa naenda vile anatka anasema anatapika hataki hat kusikia harufu yake πŸ˜‚ aha ankujaga weeknd nashindwa nae nahangaika na nyama na mboga nzuri nzuri had anapoondoka sikumoja nikakosa nikapika dagaa alikula had ugali ukaisha na hakutapika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
bro wewe ndo mwanaume katu usitegemee mwnamke panga mishe zako rudi nyumbani fuatilia kijana huyo tayari ushamkamatisha na hiko kibend ,,,cha pili usirudie kumfukuza mkeo eti wakupokee kwenu haya maamuzi huwa tunatoa mara moja tu na huwa hakuna kurudi nyuma hilo ni zigo lako wewe ni kichwa cha familia act like one.....na wala usijaribu kuwasukumia wazazi matatizo yako unless umeamua kuachana naye ...grow some balls asikuone kama yeye ni mkono wako wa kushoto cause atakua anakupanda kichwani,,,in fact mimi mke wangu sitaki ainglie mishe zake kihivyo maana anakua na kisirani kusema bila mimi huyu asogei
 
Wewe ni mpumbavu wa hali ya juu. Huna akili kabisa, yaani ni mbumbumbu

1. Kuja kupost mambo yako na mkeo humu kunaonesha ni jinsi gani ulivyo bwege mtozeni

2. Kushindwa kuwaelewa wajawazito kuwa huwa wanaoverract na kukasirika kasirika kunaonesha wewe ni mbumbumbu wa kiwango cha lami

3. Kususa na kutaka kumrudisha mkeo kwao eti kisa mlibishana ni ushenzi wa hali ya juu na kunaonesha wewe hukustahili kuwa kwenye ndoa.

Hapo ulipopiga magoti, itazame anga huku ukinyoosha mikono juu kama unamuomba mungu na useme, β€œmungu mimi ni mjinga na mburura, ngumbaru wa kupitiliza naomba uniokoe na uiokoe ndoa yangu”.

Pumbafuu
 
Unatakiwa umuendee taratibu kama unamnyatia balale. Ni muhimu kwa mjamzito kupiga tizi au kuwa na harakati but ikitokea ni mzembe unatakiwa utumie mbinu za kiintelijensia.

Ungefika home kwanza halafu ungemwambia twenzetu tukatafute kitu cha kula. Ili akubali kutoka halafu unatoka nae unamtembeza kipande fulani then unamrejesha home.

Ukifanya hili zoezi mara kadhaa utaona anarejea sawa na kukuunga mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…