Nimegombana na Mke wangu leo mpaka nimeshangaa

hamna kitu kama hiko, tatizo la kuwadekeza hao wanawake zenu na kujifanya mnaishi kisasa ndo shida inapoanzia hapo, mimi nimeshuhudia wanawake wengi tu akiwemo Mke wangu mpaka kesho anaenda kujifungua bado yupo gado

True mkuu ni kudekeza tu wake hamna kingine
 
Uko sahihi but jamaa katumia very poor approach.
Angepaswa wayaongelee mezani wakifurahi.
Unajua simu haiwezi kutengeneza mambo kama mtakavyofanya face to face

Sawa mkuu nimekuelewa
 

Sawa mkuu nimekuelewa
 
Hata kama ndo mimba ya kwanza ndo uniagize barafu za kuchemsha?????

[emoji23][emoji23]daah haya bhana kuna mwamba humu kaambiwa akirud aje na sanamu la posta tena sio ombi ni lazima [emoji23][emoji23]
 
Shikilia hapo hapo japo nahisi ulishabugi step moja nyuma. Mke umemuendekeza sana coz kama mpo wawili tu hamna mtoto, binafsi sijaona sababu ya kuwa na beki3.

Hapo ndo ulipoanza kunyeshewa mvua.

Daah beki 3 nikwaajili ya kumsaidia kazi za home
 
Wanadeka hao ukijisahau tu unakuwa mume bwege, uyo asiende nyumbani abaki hapo hapo aende kwao akawe mjinga zaidi abaki hapo hapo ondoa dada wa kazi make afue apike na usiku akuhudumie mpaka daktari aseme mpumzishe wanakuwaga wajinga sana hao usipokuwa na msimamo
 

[emoji23][emoji23]daah
 

Sawa mkuu nimekuelewa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani wewe bado ku-experience hii kitu?
 

Sawa mkuu nimekuelewa
 

Sawa mkuu nimekuelewa
 
Ila nnachojua kwenye mahusiano ukianza kumlinganisha mwenza wako na mtu mwingine
Wala hamna muda mrefu
Sahihi,anataka make wake awe kama wajawazito anao waonanhuko,mimba hazifanani bro..kulinganisha ni kosa kubwa mnoo..inaonekana Bado mchanga kwenye ndoa..miaka ya mbeleni ukishapata uzoefu ukiurudia huu Uzi utajicheka sana..kwa lipo hapo la kumrudisha make wako kwao hahahaa akichepuka siku si utaua??komaa kaza mimba ni kipindi Cha mpito na kitapita kuwa makini na maamuzi yako usikurupuke
 
Well said mkuu ndomana nikawaza huyu lazima aende kwao kweli akatulie kwanza
Kuwa makini na ushauri unaopokea unaangukia pua Sasa hivi🤣,anaekupa ushauri unakuta yupo kwake muda huu anapapasa kijacho wake,au ameamshwa saa nane usiku akatafute tikiti na ameenda,..mjitahidi sana kusoma majarida yanayohusu uzazi na ujauzito.hata wanaume yanatusaidia sana kuishi na wake zetu na kuwasaidia kwenye hii safari..maamuzi yako mabovu yanaweza muathiri mtoto pia
 
Safi sana
 
Hili ndio tatizo lako wewe hii ni zaidi ya malambili naona unamfananisha mkeo na wanawake wanawake wengine kwanini umfananishe mkeo na wanawake wengine huku ni kumkosea na kukosea thamani yake naunga Mkono kuwa mkeo anatumia miamba Kama excuse ila mambo ya kumfananisha mkeo na wanawake sijui anauza matembere,, ofisini kwenu unamkosea mkeo...Mosi

Pili maneno uliyomwambia yana insult Sana ulibidi umuambie mukiwa mfano kitandani kwenye randomly convo unamwambia kwa mapenzi

"mke wangu kutooana na Hali yako inabidi ufanye mazoezi malamoja unatoka unaenda hata Dukani kucheki hesabu nk"

Hio ndio lugha sio kitu anafanya muda wa miezi mienw from know where umwambiw kwenye simu like Kama jobless tena na kumfananisha na wengine hakuna kitu Cha kijinga Kama kufananishwa na wengine ndio maana akajabu 'nina akili zangu' unamfananishaje mkeo na mwengine aiungeoa huyo mwengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…