Nimegombana na waifu kwasababu ya Mudi: Naombeni ushauri wakuu

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
40,828
Reaction score
99,523
......
.........
............
Hiyo nafasi nilio acha hapo juu ni kwaajili ya salam.
Ipo hivi.....
Jana wakati tunatoka shambani kidogo niliona mabadiliko kutoka kwa mamaenu (waifu). Alikua mtu mwenye hasira sana, basi nikamuuliza kipenzi changu kulukoni...??
Akanijibu kwamba hawezi akawa na furaha bila Mudi..☹️
Then nikamuuliza kwa upole kabisa kuhusu Mudi, ajabu akasisitiza kwamba yeye hawezi kufanya chochote bila Mudi.
Kwakweli kidogo niangushe jembe niloweka begani....🤨
Basi mwenyewe nikajikaza kisabuni huku nikijikongoja wakati moyo ukitweta kwa kasi ya 5G, basi tulipo fika home nikalianzisha kwamba hapalaliki leo hadi anieleze huyo Mudi anae mzungumzia ni Mudi wa Jf ama ni yule Mudi tajiriake Haji wa zamani..??
Cha ajabu waifu akacheka sana.... alafu bila wasiwasi akaniambia (wemzee unazeeka vibaya) na akasisitiza eti niache ushamba.
Sasa imebidi nije niwaombe ushauri wakuu, maana hapa naona kama sijielewi sababu ya Mudi.
Ebu mnisaidie kumjua huyu ni Mudi gani ambae anasababisha hani tafrani...??
 
Halafu mchizi wangu nawe umenichoma asee
Alipo nitajia mudi, nikadhani niwa Jf ama yule muuza mkaa...🤣
Kumbe nilisikia kwa sikio la kibantu, wakati mwenzangu akimaanisha lugha ya bepari..😜
 
......
.........
............
Hiyo nafasi nilio acha hapo juu ni kwaajili ya salam.
Ipo hivi.....
Jana wakati tunatoka shambani kidogo niliona mabadiliko kutoka kwa mamaenu (waifu). Alikua mtu mwenye hasira sana, basi nikamuuliza kipenzi changu kulukoni...??
Akanijibu kwamba hawezi akawa na furaha bila Mudi..☹️
Then nikamuuliza kwa upole kabisa kuhusu Mudi, ajabu akasisitiza kwamba yeye hawezi kufanya chochote bila Mudi.
Kwakweli kidogo niangushe jembe niloweka begani....🤨
Basi mwenyewe nikajikaza kisabuni huku nikijikongoja wakati moyo ukitweta kwa kasi ya 5G, basi tulipo fika home nikalianzisha kwamba hapalaliki leo hadi anieleze huyo Mudi anae mzungumzia ni Mudi wa Jf ama ni yule Mudi tajiriake Haji wa zamani..??
Cha ajabu waifu akacheka sana.... alafu bila wasiwasi akaniambia (wemzee unazeeka vibaya) na akasisitiza eti niache ushamba.
Sasa imebidi nije niwaombe ushauri wakuu, maana hapa naona kama sijielewi sababu ya Mudi.
Ebu mnisaidie kumjua huyu ni Mudi gani ambae anasababisha hani tafrani...??

Kichwa cha chini, jina lingine Abdallah kichwa wazi, kenge kweli wewe!!!!!!!
 
Back
Top Bottom