Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm nikahisi ni yule wa saudiaAlipo nitajia mudi, nikadhani niwa Jf ama yule muuza mkaa...🤣
Kumbe nilisikia kwa sikio la kibantu, wakati mwenzangu akimaanisha lugha ya bepari..😜
Jamaa ni mvivu sana! Yaani kutusalimia tu kwa kifupi samaleko 🙌 ameona ni kazi ngumu sana.Si ungetoa salaam tu! Mbona salaam ni fupi sana ukiringanisha na hayo maelezo uliyotoa?
Nikweli mimi ni kenge, na ndio maana nikikuzaa wewe kenge mwanangu...😜
Mifala kitambo....🤣
Nashangaa ndio umejua leo..😎
...Hata Shigongo hataitaka story Feki hii, sembuse Sisi....!! [emoji57][emoji57][emoji57]......
.........
............
Hiyo nafasi nilio acha hapo juu ni kwaajili ya salam.
Ipo hivi.....
Jana wakati tunatoka shambani kidogo niliona mabadiliko kutoka kwa mamaenu (waifu). Alikua mtu mwenye hasira sana, basi nikamuuliza kipenzi changu kulukoni...??
Akanijibu kwamba hawezi akawa na furaha bila Mudi..[emoji3525]
Then nikamuuliza kwa upole kabisa kuhusu Mudi, ajabu akasisitiza kwamba yeye hawezi kufanya chochote bila Mudi.
Kwakweli kidogo niangushe jembe niloweka begani....[emoji2955]
Basi mwenyewe nikajikaza kisabuni huku nikijikongoja wakati moyo ukitweta kwa kasi ya 5G, basi tulipo fika home nikalianzisha kwamba hapalaliki leo hadi anieleze huyo Mudi anae mzungumzia ni Mudi wa Jf ama ni yule Mudi tajiriake Haji wa zamani..??
Cha ajabu waifu akacheka sana.... alafu bila wasiwasi akaniambia (wemzee unazeeka vibaya) na akasisitiza eti niache ushamba.
Sasa imebidi nije niwaombe ushauri wakuu, maana hapa naona kama sijielewi sababu ya Mudi.
Ebu mnisaidie kumjua huyu ni Mudi gani ambae anasababisha hani tafrani...??
AiseeMisjui mkuu, ila huu mwaka tumepata mpunga na mahidi na maharage ya kutosha....😊