Nimegombana na waifu kwasababu ya Mudi: Naombeni ushauri wakuu

......
.........
............
Hiyo nafasi nilio acha hapo juu ni kwaajili ya salam.
Ipo hivi.....
Jana wakati tunatoka shambani kidogo niliona mabadiliko kutoka kwa mamaenu (waifu). Alikua mtu mwenye hasira sana, basi nikamuuliza kipenzi changu kulukoni...??
Akanijibu kwamba hawezi akawa na furaha bila Mudi..☹️
Then nikamuuliza kwa upole kabisa kuhusu Mudi, ajabu akasisitiza kwamba yeye hawezi kufanya chochote bila Mudi.
Kwakweli kidogo niangushe jembe niloweka begani....🤨
Basi mwenyewe nikajikaza kisabuni huku nikijikongoja wakati moyo ukitweta kwa kasi ya 5G, basi tulipo fika home nikalianzisha kwamba hapalaliki leo hadi anieleze huyo Mudi anae mzungumzia ni Mudi wa Jf ama ni yule Mudi tajiriake Haji wa zamani..??
Cha ajabu waifu akacheka sana.... alafu bila wasiwasi akaniambia (wemzee unazeeka vibaya) na akasisitiza eti niache ushamba.
Sasa imebidi nije niwaombe ushauri wakuu, maana hapa naona kama sijielewi sababu ya Mudi.
Ebu mnisaidie kumjua huyu ni Mudi gani ambae anasababisha hani tafrani...??
we acha utani, yaani na umri huu humujui mzee wa kinyamo ugomvi anayetaka round 16 kabla ya jogoo kuwika au unatania, na wewe, mpelekee mudi ili muwe bila bila, mukiwashe hadi majilaninwawaitie polisi kwa lugha za roho mtakatifu zinazotoka huko kusiko julikana.
 
Mudi ni hali fulani anayojisikia mtu ndani ya mwili na nafsi yake. Ni mood, umeamua kuchekesha tu ukweli unaujua
Asante mkuu, maana nilikua nishanoa panga, mkuku na mishale kwa maandalizi ya vita..☹️
 
......
.........
............
Hiyo nafasi nilio acha hapo juu ni kwaajili ya salam.
Ipo hivi.....
Jana wakati tunatoka shambani kidogo niliona mabadiliko kutoka kwa mamaenu (waifu). Alikua mtu mwenye hasira sana, basi nikamuuliza kipenzi changu kulukoni...??
Akanijibu kwamba hawezi akawa na furaha bila Mudi..☹️
Then nikamuuliza kwa upole kabisa kuhusu Mudi, ajabu akasisitiza kwamba yeye hawezi kufanya chochote bila Mudi.
Kwakweli kidogo niangushe jembe niloweka begani....🤨
Basi mwenyewe nikajikaza kisabuni huku nikijikongoja wakati moyo ukitweta kwa kasi ya 5G, basi tulipo fika home nikalianzisha kwamba hapalaliki leo hadi anieleze huyo Mudi anae mzungumzia ni Mudi wa Jf ama ni yule Mudi tajiriake Haji wa zamani..??
Cha ajabu waifu akacheka sana.... alafu bila wasiwasi akaniambia (wemzee unazeeka vibaya) na akasisitiza eti niache ushamba.
Sasa imebidi nije niwaombe ushauri wakuu, maana hapa naona kama sijielewi sababu ya Mudi.
Ebu mnisaidie kumjua huyu ni Mudi gani ambae anasababisha hani tafrani...??
nimeipenda hio salami yako ya ......... ........
 
Hujawahi kupost kitu cha maana ni ujinga tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah
 
Back
Top Bottom