Mbona uzi umefutwaaaa πͺπͺπͺNjoo na huku
Alinidharau sijui mechi nikampa aingize kichwa, sasa analia amenogewa, kamwacha mchumba wake, nifanyaje?
Nyieeeeee, msiniletee stori za magazeti ya sani, me niko kwenye maombi ya toba ujue Basi bwana kuna dogo kaniletea wazimu whatsapp anasemajeee anasemajeee Dogo: aunty Penny bwana kuna mwanaume amenifukuzia miaka 2 sijampa utamu, nikamdanganya me bikra Akawa ananisumbua anaenda anarudi...www.jamiiforums.com
Jeuri HunaUnaninyanyasa sana,kukutafuta WhatsApp bado kimya
Naelekea shambani kulima,nikirejea usiku nikute story la sivyo nakutwangia simu .
Labda mnaweza kuokoka piaπππ πBora tukutanie kwa Yesu kuliko kwa shetani, kwa shetani unarekodiwa video
HaleluyahLabda mnaweza kuokoka piaπππ π
Hii kiburi ndio uko nayo hadi kwenye ndoa?Jeuri Huna
Usiku mwema
God bless youMrembo: unajua Penny, nimefurahi umeanzisha youtube channel buana, sasa kuna ishu nataka nikupe
Money penny: enhe nambie mrembo
Mrembo: kuna wanaume wawili wananitaka,
Mmoja ni mtu mzima miaka 55 - Mpenzi A
Mwingine kijana miaka 35 - Mpenzi B
Kati ya hawa wawili wote siwaelewi,
Mwanzo Mpenzi A alinifukizia kwa mapenzi yote, baadae spidi ikaisha akapoa kabisa
Mpenzi B alianza kwa spidi sana, kadri nimemkazia akawa bado anataka tuwe wapenzi
Nikawaza sana ,nifanyaje nikaamua wote nikutane nao, nikalengesha waje kanisani wakaja
Mpenzi B akaja wa kwanza amewahi akaanzq kunitongoza wee, nikaona mpenzi B kama ametumwa na mpenzi A
Baada ya kutongozwa kwa dk 20 mpenzi A akaingia akatukuta tunaongea, mimi bila kupaniki nikamkaribisha mpenzi A nikamtambulisha kwa mpenzi B kuwa nae ananipenda na amekuja kunitongoza
Sasa kaeni hapo mniambie nani nimkubali kati yenu wawili
Wakakaa hapo money penny wananiangalia hawaelewi cha kufanya, baada ya dk 10 za kuduwaa, nikainuka nikaondoka kwenda nyumbani,
Mpaka leo nakuadithia hakuna hata mmoja alienitafuta ni wiki ya 3 sasa
Sielewi wanaume wanataka nini? Wanaume watu wa ajabu sana
Mbona waliduwqa kama wenye mapepoHii kiburi ndio uko nayo hadi kwenye ndoa?
Hao uliogonganisha wangekutwanga tu makofi hiyo kichwa.
π€£
AmenGod bless you
God bless you
Ndoa sio mchezo wa kuigiza π€£π€£π€£Hii kiburi ndio uko nayo hadi kwenye ndoa?
Hao uliogonganisha wangekutwanga tu makofi hiyo kichwa.
π€£
ile kesi ya dada wa yombo ulikuwa wewe acp fatuma.maana ulitakiwa ufanyiwe hivyoMrembo: unajua Penny, nimefurahi umeanzisha youtube channel buana, sasa kuna ishu nataka nikupe
Money penny: enhe nambie mrembo
Mrembo: kuna wanaume wawili wananitaka,
Mmoja ni mtu mzima miaka 55 - Mpenzi A
Mwingine kijana miaka 35 - Mpenzi B
Kati ya hawa wawili wote siwaelewi,
Mwanzo Mpenzi A alinifukizia kwa mapenzi yote, baadae spidi ikaisha akapoa kabisa
Mpenzi B alianza kwa spidi sana, kadri nimemkazia akawa bado anataka tuwe wapenzi
Nikawaza sana ,nifanyaje nikaamua wote nikutane nao, nikalengesha waje kanisani wakaja
Mpenzi B akaja wa kwanza amewahi akaanzq kunitongoza wee, nikaona mpenzi B kama ametumwa na mpenzi A
Baada ya kutongozwa kwa dk 20 mpenzi A akaingia akatukuta tunaongea, mimi bila kupaniki nikamkaribisha mpenzi A nikamtambulisha kwa mpenzi B kuwa nae ananipenda na amekuja kunitongoza
Sasa kaeni hapo mniambie nani nimkubali kati yenu wawili
Wakakaa hapo money penny wananiangalia hawaelewi cha kufanya, baada ya dk 10 za kuduwaa, nikainuka nikaondoka kwenda nyumbani,
Mpaka leo nakuadithia hakuna hata mmoja alienitafuta ni wiki ya 3 sasa
Sielewi wanaume wanataka nini? Wanaume watu wa ajabu sana
Wakipata wanachokifuata mapepo yatapotea kusikojulikanaMbona waliduwqa kama wenye mapepo
Du, kwan me nina miaka 17?ile kesi ya dada wa yombo ulikuwa wewe acp fatuma.maana ulitakiwa ufanyiwe hivyo
Kweli kabisaWakipata wanachokifuata mapepo yatapotea kusikojulikana
Hahahah! Kwahiyo anatuvuruga tu akili za simulizi na maisha yake halisi ya ndoa?Ndoa sio mchezo wa kuigiza π€£π€£π€£
fanya ndio mume wako anakufanyia.wanawake mlivyoDu, kwan me nina miaka 17?
Mkuu mambo ni mbovu sana sasa hasa kwa Wanawake hivi kama una ndoa huu muda si wa kuhudumia familia?Hahahah! Kwahiyo anatuvuruga tu akili za simulizi na maisha yake halisi ya ndoa?
Njoo whatsappMoney Penny naomba kazi basi
Dooh πNjoo whatsapp