Nimegugo dalili zote UKIMWI, ninazo

Huo mkanda wa jeshi unakuwaje? Tunatiana hofu balaa...mtu aweza kupata vipele akaanza kupata hofu kumbe ni vipele vya kawaida tu.
 
Nakumbuka Mwaka Jana ,Miezi kama Hii Kuna Manzi nilikua na Appointment nae Before hapo nilikua na Mahusiano nae na nilikua nilisha lala Nae nikaskia skendo kwamba ana UKIMWI nikampiga chini,

Akanitafuta Tena baada ya Miez mitano akasema kwamba amenimiss nikasema fresh , Siku hiyo nilikutana na watu Wanao pima Virusi ( Huwa wanazunguka mtaani) Nikapima

Afya yangu nikajikuta nipo fresh nikawa nimewaomba kipimo kimoja nikakiifadhi then Nikawambia yule manzi(nilie kua na appointment nae) kwamba atafute kipimo tupime ndio tulale wote Alicho kifanya yule Dada aliichukua kipimo ambacho tayari kimesha tumika anajua kwamba Mimi Sito elewa , akashangaa Natoa changu kumpima

Nilivyo Mpima nikakuta ana HIV Wala hakushtuka maana Hali yake alikua anajua , Namshukuru sana Mungu Kwa kumionyesha hili

Funzo: Tujitahidi kuwapima Wenza wetu mara Kwa mara kabla ya kufanya tendo au kutumia Kinga pale unapo kutana na Mwanamke Ambae si mke wako.

"UKIMWI Upo"
 
Unajikanyaga mwenyewe , nukuu ya maandishi yako;"Mzee kwa 98% Wote wanaopata Shingles Lazima wana HIV."
Hizo hesabu zinazosema ukiwa na shingles una HilIV tupe reference tukatoe ujinga
Habari mkuu..
Hakuna mahali nimejikanyaga..
Still bado hujajibu swali nililokuuliza mkuu..
Rudi liangalie kama ikikupendeza ulijibu

Na kingine Kuhusu Hivi vitu hatuzungumzi kufurahisha genge mkuu ni viti vipo na tumeviona na kuvishuhudia na kuvifanyia study pia..

Ninachokiongea Kiko proved Epidemiologically and Biostatistically

Sasa Kwakuwa unataka Refference nitakupa Tatu tu..
  • Moja ilifanyika Tanzania KCMC
  • nyingine ikafanyika AFRICA nzima kwa Sample space waliochagua Nchi kadhaa..
  • NA nyingine ilifanyika worldwide

Kwa Tanzania

Reaseach ilifanywa na AE NABURI na wenzake..
Ilionyesha 100% Ya wagonjwa wote 200 waliofika KCMC kwa ajili ya matibabu ya HZ (shingles) walikuwa HIV+


Kwa Africa

ilionekana 95% wana HIV+ While hao wengine yaani watoto na Wazee wenye 5% baadhi hawakuwa na HIV+


Na Research ya world wide..

 
 
1 Yohana 4:7, 8
Wapenzi, na mpendane; kwa kuwa pendo latoka kwa Mungu, na kila apendaye amezaliwa na Mungu, naye anamjua Mungu. Yeye asiyependa, hakumjua Mungu, kwa maana Mungu ni upendo.
 
Watu wa afya mmetumia kiingereza mno, ukiwa na stress hata kiingereza huelewi. Huyu jamaa, pamoja na sisi wengine anahitaji maelezo ya kawaida ili aelewe vizuri.
Yani acha tu mkuu, kitambaa cheupe amenifanya nichungulie kaburi
 

Watu wengi wanapata TB kwa kula vitu vinavyofungwa kwenye nylon eg karanga ,korosho ,miwa ,ubuyu ,mtu anaumwa TB anapuliza vifuko kwa mdomo kisha anaweka karanga/korosho au unaenda kununua chips unamwambia weka pilipili anachukua nylon anapuliza kisha anakufungia.

Wafanyabiashara wengi hawana elimu ya usafi ,utakuta mama lishe au baba lishe ameweka kijiti cha kuchokonolea meno mdomoni na anachokonoa kisha anafuta na vidole then anaenda kushika vyombo anawapelekea wateja au utakuta anashika tambaa na sabuni anasafisha meza then bila kunawa anaenda kushika chapati yaani kula kwa mama ntilie hawa wa uswazi ni mtihani.
 
Mkuu haya maneno yako acha nikapime
 
Mkuu unanishauri nikapime?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…