Nimegugo dalili zote UKIMWI, ninazo

Nimegugo dalili zote UKIMWI, ninazo

Huo mkanda wa jeshi unakuwaje? Tunatiana hofu balaa...mtu aweza kupata vipele akaanza kupata hofu kumbe ni vipele vya kawaida tu.
 
Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa.

Nikaona kabisa huu ni ukimwi, kuchukua simu nikaingia gugo nikaandika dalili za ukimwi. Nimesoma naona zote ninazo mpaka kijipu upande wa paja karibu na korodani ninayo wanaita groin nodes.

Wakuu kupima naogopa Vibaya mno, nakumbuka mwaka 2010 niliwahi kupata mkanda wa jeshi naona hili Tena limekuja. Hii ngoma nimekuwa na stress Sana hata kazini kwenda nahisi uvivu.

Muda wote kichwa na misuli inauma nahisi kuchokaaa.
Nakumbuka Mwaka Jana ,Miezi kama Hii Kuna Manzi nilikua na Appointment nae Before hapo nilikua na Mahusiano nae na nilikua nilisha lala Nae nikaskia skendo kwamba ana UKIMWI nikampiga chini,

Akanitafuta Tena baada ya Miez mitano akasema kwamba amenimiss nikasema fresh , Siku hiyo nilikutana na watu Wanao pima Virusi ( Huwa wanazunguka mtaani) Nikapima

Afya yangu nikajikuta nipo fresh nikawa nimewaomba kipimo kimoja nikakiifadhi then Nikawambia yule manzi(nilie kua na appointment nae) kwamba atafute kipimo tupime ndio tulale wote Alicho kifanya yule Dada aliichukua kipimo ambacho tayari kimesha tumika anajua kwamba Mimi Sito elewa , akashangaa Natoa changu kumpima

Nilivyo Mpima nikakuta ana HIV Wala hakushtuka maana Hali yake alikua anajua , Namshukuru sana Mungu Kwa kumionyesha hili

Funzo: Tujitahidi kuwapima Wenza wetu mara Kwa mara kabla ya kufanya tendo au kutumia Kinga pale unapo kutana na Mwanamke Ambae si mke wako.

"UKIMWI Upo"
 
Unajikanyaga mwenyewe , nukuu ya maandishi yako;"Mzee kwa 98% Wote wanaopata Shingles Lazima wana HIV."
Hizo hesabu zinazosema ukiwa na shingles una HilIV tupe reference tukatoe ujinga
Habari mkuu..
Hakuna mahali nimejikanyaga..
Still bado hujajibu swali nililokuuliza mkuu..
Rudi liangalie kama ikikupendeza ulijibu

Na kingine Kuhusu Hivi vitu hatuzungumzi kufurahisha genge mkuu ni viti vipo na tumeviona na kuvishuhudia na kuvifanyia study pia..

Ninachokiongea Kiko proved Epidemiologically and Biostatistically

Sasa Kwakuwa unataka Refference nitakupa Tatu tu..
  • Moja ilifanyika Tanzania KCMC
  • nyingine ikafanyika AFRICA nzima kwa Sample space waliochagua Nchi kadhaa..
  • NA nyingine ilifanyika worldwide

Kwa Tanzania

Reaseach ilifanywa na AE NABURI na wenzake..
Ilionyesha 100% Ya wagonjwa wote 200 waliofika KCMC kwa ajili ya matibabu ya HZ (shingles) walikuwa HIV+
Screenshot_20240319_094421_Chrome.jpg

Kwa Africa

ilionekana 95% wana HIV+ While hao wengine yaani watoto na Wazee wenye 5% baadhi hawakuwa na HIV+
Screenshot_20240319_094907_Chrome.jpg

Na Research ya world wide..
Screenshot_20240319_100312_Chrome.jpg

Screenshot_20240319_100421_Chrome.jpg
 
Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa.

Nikaona kabisa huu ni ukimwi, kuchukua simu nikaingia gugo nikaandika dalili za ukimwi. Nimesoma naona zote ninazo mpaka kijipu upande wa paja karibu na korodani ninayo wanaita groin nodes.

Wakuu kupima naogopa Vibaya mno, nakumbuka mwaka 2010 niliwahi kupata mkanda wa jeshi naona hili Tena limekuja. Hii ngoma nimekuwa na stress Sana hata kazini kwenda nahisi uvivu.

Muda wote kichwa na misuli inauma nahisi kuchokaaa.
wasaKj8I_400x400.jpg
 
1 Yohana 4:7, 8
Wapenzi, na mpendane; kwa kuwa pendo latoka kwa Mungu, na kila apendaye amezaliwa na Mungu, naye anamjua Mungu. Yeye asiyependa, hakumjua Mungu, kwa maana Mungu ni upendo.
 
Watu wa afya mmetumia kiingereza mno, ukiwa na stress hata kiingereza huelewi. Huyu jamaa, pamoja na sisi wengine anahitaji maelezo ya kawaida ili aelewe vizuri.
Yani acha tu mkuu, kitambaa cheupe amenifanya nichungulie kaburi
 
Kuna rafiki yangu nilisomanae Olevel na yeye alikuwa na dalili zote za HIV mpaka mkanda wa jeshi alipata. Muda wote analia tonsils vidonda vimejaa mdomoni Kuna siku daktari alimuuliza au unamchezo wa kunyonya K, kichwa kumuuma ilifika kipindi koo lilikuwa linamuuma anakooa damu kwenda Hospital wakamkuta na TB . Ikabidi wa mcheki HIV wakakuta negative.

So kuliko ujitese bure bora uendee ukapime ngoma ili ubaki na Amani ya moyo maana hata usipoenda haita badilisha kitu zaidi ya kuumia

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app

Watu wengi wanapata TB kwa kula vitu vinavyofungwa kwenye nylon eg karanga ,korosho ,miwa ,ubuyu ,mtu anaumwa TB anapuliza vifuko kwa mdomo kisha anaweka karanga/korosho au unaenda kununua chips unamwambia weka pilipili anachukua nylon anapuliza kisha anakufungia.

Wafanyabiashara wengi hawana elimu ya usafi ,utakuta mama lishe au baba lishe ameweka kijiti cha kuchokonolea meno mdomoni na anachokonoa kisha anafuta na vidole then anaenda kushika vyombo anawapelekea wateja au utakuta anashika tambaa na sabuni anasafisha meza then bila kunawa anaenda kushika chapati yaani kula kwa mama ntilie hawa wa uswazi ni mtihani.
 
maradhi kwa binadamu ni kawaida hilo ni Lazima ufahamu, na ni ulimbukeni kukata tamaa pasipo sababu 🐒

kula vizuri, lala vizuri, fanya mazoezi pumzika mwili wako, vaa ujasiri ondoa woga, kubali unaweza ugua tayifodi, malaria au UTI ukapata dalili izo izo au ukakonda pia. Usihitimishe unaugua nini mpaka pale utakapopata majibu ya vipimo 🐒

starehe tunazipenda ila mwisho wake ni mbaya 🐒

Hata hivyo ni kwa Neema na Baraka za Mungu tunaishi 🐒
Mkuu haya maneno yako acha nikapime
 
Mkuu achana na ishu za ku guglu! Kuugua mkanda wa Jeshi haimaanishi una ngoma. Kuna dogo nilikua naishi nae alidhoofu sana ingawa kila kitu alikua anapatiwa. Najua ni mawazo tu kwa sababu hakuwa na wazazi na kuishi ugenini hakuzoea.
Alipatwa na vipele mbavuni vinatoka mgongoni kuja kifuani. Nilipompeleka hospital, jamaa wakasema huu ni mkanda wa jeshi. Wakautaja kwa kimombo sikumbuki vizuri ni jingoz sijui 😂. Sasa wakaniita pembeni wakasema bana inabidi huyu dogo tumpime na HIV kabisa tujue status.
Lakini baada ya kupima, alikua Negative. So wakamwanzishia dawa. Alipomaliza vile vipele vikauka kabisa. Hivyo vipele vinakua kama Skonzi vile na
Vimejaa maji vinang'aa halafu vinauma. Mpaka sasa hivi dogo amekop mazingira afya safi kabisa.
Kwa hiyo wewe kinachokumaliza ni kuwaza sana mpaka kinga inapungua na kusababisha magonjwa yaanze kuingia kwa urahisi
Mkuu unanishauri nikapime?
 
Back
Top Bottom