Nimegugo dalili zote UKIMWI, ninazo

Nimegugo dalili zote UKIMWI, ninazo

Ila ni vizuri kupima na kuamini majib yak mm nilikua n hofu mpk nime pima mara 4 katika miez 3 na hofu mpk hapo nilikua bado siaminiamini lkn nikashauriwa natakiw nijiamini n kuacha sabb hatarish za magonjwa
Nawa shauri vijana tuji tunze na tuache zinaa
 
Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa.

Nikaona kabisa huu ni UKIMWI, kuchukua simu nikaingia gugo nikaandika dalili za ukimwi. Nimesoma naona zote ninazo mpaka kijipu upande wa paja karibu na korodani ninayo wanaita groin nodes.

Wakuu kupima naogopa Vibaya mno, nakumbuka mwaka 2010 niliwahi kupata mkanda wa jeshi naona hili Tena limekuja. Hii ngoma nimekuwa na stress Sana hata kazini kwenda nahisi uvivu.

Muda wote kichwa na misuli inauma nahisi kuchokaaa.
Sikiliza huu wimbo kwanza:

View: https://www.youtube.com/watch?v=Vn_ZkI7-IZ4
 
Kuna rafiki yangu nilisomanae Olevel na yeye alikuwa na dalili zote za HIV mpaka mkanda wa jeshi alipata. Muda wote analia tonsils vidonda vimejaa mdomoni Kuna siku daktari alimuuliza au unamchezo wa kunyonya K, kichwa kumuuma ilifika kipindi koo lilikuwa linamuuma anakooa damu kwenda Hospital wakamkuta na TB . Ikabidi wa mcheki HIV wakakuta negative.

So kuliko ujitese bure bora uendee ukapime ngoma ili ubaki na Amani ya moyo maana hata usipoenda haita badilisha kitu zaidi ya kuumia

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Na TB juu halafu akose ngwengwe?
 
Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa.

Nikaona kabisa huu ni UKIMWI, kuchukua simu nikaingia gugo nikaandika dalili za ukimwi. Nimesoma naona zote ninazo mpaka kijipu upande wa paja karibu na korodani ninayo wanaita groin nodes.

Wakuu kupima naogopa Vibaya mno, nakumbuka mwaka 2010 niliwahi kupata mkanda wa jeshi naona hili Tena limekuja. Hii ngoma nimekuwa na stress Sana hata kazini kwenda nahisi uvivu.

Muda wote kichwa na misuli inauma nahisi kuchokaaa.
Wewe muuongo bhana 😂
 
Back
Top Bottom