Nedlloyd
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 10,361
- 27,215
Labda walipie wajukuu toka kwenye shina Hilo wakati Babu hayupo na hakuwatenga wanatoka shinani Kwa ubaya alioufanya.Kweli wapo wanao dhulumu na kula vya wenzao, lakini nao yatawarudia na kufanyiwa kama walivyo fanyia wenzao