Nimegundua haya baada ya kipindi kifupi cha kufanya kazi na Wahindi

Mimi nitaku challenge kwenye namba tatu. Duniani hakuna watu wanaopenda kujitetea kwa kusema ni bahati mbaya kama watanzania. Trust me. Hili neno la kusema '' ni bahati mbaya'' lipo midomoni mwa kila mtanzania. Mimi nadhani mazingira tunayokulia hayatufundishi kuwa makini na yanaruhusu uzembe kwa kiwango cha juu. Nasema hivi kwa sababu ukichunguza ''bahati mbaya'' nyingi kabisa asili yake ni uzembe na kutokuwa makini. Kama hujatembea na kufanya kazi nchi nyingine utaona kama nimekuwa harsh ila sivyo hivyo. Ni ofisi gani utakayokwenda Bongo bila kukutana na maneno ''bahati mbaya''? Utakuta jina la mteja limekosewa ukiuliza utaambiwa ni bahati mbaya. Utakuta faili limekuwa mis-placed ukiuliza utaambiwa ni bahati mbaya. Kwenye daladala mtu atafanya uzembe wa kijinga ukiuliza utajibiwa ni bahati mbaya. Hotelini chakula kinaweza kuletwa kikiwa na hitilafu ukiuliza utaambiwa ni bahati mbaya. Kwa kifupi nchi yetu tunaweza kuiita ''nchi ya bahati mbaya''
 
Nyumba za msajili hawakujenga kwa hela zao, zipi? Hizo ni hela walizo tuibia kupitia madini yetu na biashara za ujanja ujanja.

Una ushaidi kama wameiba izo hella? Au hisia zako zinaku2ma uko!!!!! Zulma mbaya sana mzee, haimuachi mtu salama. ndiomana nyumba za msajili serikali wameshindwa kuziendereza mpaka wa leo.
 
Nawafahamu sana hao mkuu na kusoma kwenyewe wanaosoma ni wachache sana tena ni special
 
Wahindi wanapenda umbea na uongo uongo, na wewe ukiwa hivyo basi mtakuwa marafiki.
 
Bahati mbaya na samahani yanakera sana, mtu anafanya makosa makusudi anategemea kusema samahani et yaishe, mimi ndo huwa nawauliza huyo samaani yako inanisaidiaje mimi, Hapo mtu kakuletea chakula kibovu
 
Bidhaa za supermarket sio zote ni expensive kuliko za magengeni au kwa mangi. Ondoa hiyo mentality.

Fanya research kidogo kwa bidhaa za vinywaji utaona.
Kabisa nakubaliana na wewe,kuna bidhaa ambazo ni cheap supermarket kuliko hata mtaani.
 
Ningekuwa na mamlaka ningechukua ule uamuzi wa Idd Amin kufukuza wahindi woote tena ningetimua na waarabu kabisa.
Mwisho wa wote,Idd Amin,alikimbilia kwa waarabu,baada ya kupinduliwa,na akafia huko huko na kuzikwa huko huko,Saudia Arabia.Aliowafukuza,ndio waliomuhifadhi,mpaka kifo chake,kikamfikia.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Akili kubwa Sana adse ...nakubali
 
iranna hakusema kama bidhaaa za supermarket ni ghali
 
Umechemka! Hao jamaa vilaza kichizi na ujanja na kuhonga kwingi sana ili kupata kazi au kipandishwa vyeo, ila ukiangalia kwa ujumla wapo fresh kichwani hasa kwy IT na Udaktari hasa india kwenyewe! Hapa bongo wakawaida sana
Ila bado sijaona mgambo na mjeshi muhindi sijui kwa nini![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wale wanaoletwa Bongo elimu zao ni za kuungaunga tu na wengine ni form 4 tu wanaletana kindugu
 
Wahindi ni watu Wabaguzi Sana,
Wanatoa Sana rushwa Hasa wakiti shwa Na mamlaka husika, Nilifanya nao Kazi Hotel Fulani Katikati ya Jiji.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…