Gibeath-Elohimu
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 487
- 700
Vinjwaji siku hizi vinapatikana magengeni.....haya ni maendeleo kwa kweli,sipingi.Bidhaa za supermarket sio zote ni expensive kuliko za magengeni au kwa mangi. Ondoa hiyo mentality.
Fanya research kidogo kwa bidhaa za vinywaji utaona.