Nimegundua haya baada ya kipindi kifupi cha kufanya kazi na Wahindi

Ukifanya kazi kwa muhindi
Yafuatayo:utoboi mpaka unakufa,Utaweza kutanuka kimawazo,utajengewa kuwa mnyenyekevu na muoga,hatakupa deni ambalo kumaliza kwake mpaka uzikwe.

Nenda maeneo ya kisutu ukaone watu wanavosota kwa punjabi
 
Ushirikina ndo dini yao wahindi!wanaamink miungu yao ambayo ni majini na kila Siku ina maana na ina miungu wake.Hata umkute professa km ni mhindu hukosi mkuta ana kamba mkononi au shingoni hirizi yaani kwao ni vitu vya kawaida sanaa kama siye huku tunavotembea may be na rozali au tasbihi hawakushangai.
 
khs Mengi kulalamika kwny kitabu chake hio ni kweli ila khs bank kumilikiwa na mweusi hio sio kweli.Akiba Commercial bank unajua inamilikiwa na nani?Mtafute mtu anaitwa Ernest Massawe utasikia habari yake.
Nimrod mkono alilalamika live bungeni jinsi alivyofanyiwa figisu na serikali kuanzisha benki mpaka ikamlazimu kununua hisa kimya kimya kwa wahindi...kuhusu Akiba sina uhakika ila inawezekana anakula na wakubwa

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli wahindi Ni wakatili hii n kutokana na mazingira ya huko kwao kuwa wapo wengi kuzidi eneo lao Ni Kama hapa bongo useme wachaga wote warudi kwao Kilimanjaro haitotosha da same kwa wahindi pia.

Kule Anita ya kupata ugali bars la Asia kiujumla n ngumu mno na ikitokea kapata nafasi huwa afanyikosa anaprove kuwa yeye n mtu sahihi ili asirudi kule alikotoka ndomana hawa wahindi wanaokuja huku huona kwao n bahati Sana na hawafanyi kosa lolote kwa boss wao ili wasirudishwe kwao.

Ukatili wa muhindi unaanza yikes huko kwao Asia + mazingira ya mtanzania n ya kivivu, hatujiongezi, hatuheshimu muda, hatuna malengo ya muda mrefu na muda mfupi, tunawaza ngono+ushirikina kuliko kujiongeza ili kuzalisha zaidi yaani mtanzania mfano apate sababu tuu utamsikia Yan atashikilia hapo wakati kazi inataka uiprove kwa boss wako pale unapokutana na -ve situation na ukaiwin na Mambo yakaenda Kama kulikuwa hakuna kitu ila mtanzania hapo utakuwa umempa sababu ya kutokufanya Hilo Jambo.


MTANZANIA NI MVIVU NA MZEMBE


ukiwa mvivu na mzembe Basi kulalamika lalamika lazima kuwe n sehemu ya maisha yako kubali au ukatae Ila huo ndo ukweli.

Angalia hata jinsi tunavyotembea mfano majuxi Kati Mimi na rafiki yangu tulienda Nairobi kucheki fursa tulifika saa 12asbh tukawa tunajiuliza Hawa watu wamechelewa wapi jinsi wanavyotembea n Kama wale watu ambao zimebaki dk 2 kuingia Shule au kanisani vile wansvyowaigi mbaya zaidi wakati tukiwa mizungukoni tulijikuta mbele yetu tumetengeneza gape kubwa Kati ya waliopo mbele yetu nasisi huku nyuma yetu tukiwa tumexongwa nikajua sisi n watanzania n wazembe atupo fast.

Mtanzania n anafikiria apate 100millions ajenge jumba kubwa, anunue Gari za kifahari, amiliki kila msichana anaepita mbele yake.

Wakati mhindi anawaza Ile 1million aiweke kwenye Biashara mpaka ifike 10m

Muhindi anaenda kula nyumbani anapanga chumba sebule na jiko, kanunua ki vits Ina cc 990.

wewe mtanzania unaenda kula migawa ya Bei, umepanga upande mzima au nyumba nzima, unanunua crown cc2450

Unafikiri Nani mjinga hapo?

Muhindi anakufix uwe stable na maisha na kaxini kwa mtu Alie serious Ila ukiwa mvivu utamuona anakunyanya pia jua THE WORLD IS NOT FAIR hvyo jipange.

MUHINDI Kuna kitu anakuonyesha wewe mtanzania Ila uzuzu wetu tunaona wanatubana mfano Kama unafanya kazi ya mauzo kwa muhindi na unajua kitu flani kinauzwa 50,000/= na Kama ikipungua na kwa mwezi unauza zaidi ya 100pcs na mshahara wako wewe n 70,000/= kuuza unauza bado Kazin unafika kwa wakati na anakupigia mikelele Sasa hapo muhindi anakunyanyasa au anakuamsha uamke?

Nimefanya kazi na Hawa jamaa hvyo Mimi nasema UKITAKA KUJIFUNZA KAZI NENDA KWANZA KAFANYE KAZI NA MUHINDI ALAFU NDO UENDE KWA MZUNGU yaan MZUNGU atakupenda mno jinsi utakavyokuwa unajituma.

Ndo Mana wakenya hawana vilio vya kijinga kuhusu wahindi Kama sisi watanzania
 
Ha
Hizo ni mbinu za Kibiashara hata wewe ukijakuwa mfanyabiashara utafanya hivyohivyo

Hizo ni mbinu za Kibiashara hata wewe ukijakuwa mfanyabiashara utafanya hivyohivyo
Hizi not mbona nu CHAFU Za by ashara
Hizo ni mbinu za Kibiashara hata wewe ukijakuwa mfanyabiashara utafanya hivyohivyo
Hizo ni mbinu " CHAFU" za Biashara zinaweza kusapotiwa na watu un Ethical kama wewe katika biashara....
 
I agree, wengi wana hofu ya Mungu sana
 
Hawa jengagi nyumba za kuishi kabisa Wana penda kukodi tu
 
Sifa kuu ya mtu mweusi ni Kulalamika na hii ndio Nature yetu hadi mwisho wa DUNIA kama hatuto toka hapo kwenye fikra hasi tutabaki kulalamika hadi mwisho wa DUNIA.

Kazi yetu kulalama tu sijui Wahindi, warabu sijui wana roho mbaya,sijui sio WA-TANZANIA ,sio wazalendo,wabahili nk.ukitizama hao ndio waajiri wa kuu Tanzania ktk sector binafsi na ndio wanao changia kikubwa katika uchumi wa WANCHI pia ,hawa watu kiasili ni wajasiliamali toka zamani sasa wao kuwa matajiri ni haki yao hatutakiwi kuwaonea wivu kinachotakiwa nasisi tuwaige ili tufanikiwi.

Nikweli wanamambo tofauti laabda yasio kuwa ya kiungwana lkn sio wao tu peke yao hata Matajiri wangozi nyeusi pia wapo hivyo hivyo. Mtu ukiwa masikini naturally unakuwa na ROHO MBAYA na hii ndio taabia ya sisi watu WEUSI na hii sio Tanzania tu sehemu yeyote yenye watu WEUSI tunafanana kitabia wala sio siri.
 
mimi kama mtoa mada nimesema kwa wema tu wala sina wivu wowote kwao.
 
mimi nimeishi uhindini Kisutu kabla ya kuingia judiciary na kuhamia morroco; Tabia zao ndio hizo kukazana mchana watoto wakiwa shule.
 
Mkuu wewe unaongelea waarabu wa wapi mkuu?au umechanganya na wale wapemba ndio unawaita waarabu?
 
Mkuu kuna vitu hapa unachanganya,kwani wahindi wote ni matajiri?hakuna wahindi maskini?roho mbaya haina uhusiano wowote na utajiri,hao wahindi wengine wanaonyanyasa waafrika wengine ni waajiriwa tu ila wamepewa kazi ya usimamizi.
Na ukisema watu weusi ni watu wa kulalamika mbona hatuwalalamikii wazungu?Penye ukweli usemwe tu haijalishi anayesemwa ni tajiri au maskini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…