Tofautisha udi na ibada za Miungu mkuu,ushawahi ingia wakiwa wanafanya hizi ibada?if no then huwezi elewakwani Mskitini, Makanisani ama waumini wao hawatumii udi nyumbani kwao? na wakati wa kuswali hata wewe utamsubiri hadi amalize?
hata mimi anitoe sipo kwa wabongo wafanyao mambo taratibu.Na
Mba mbili nitoe mimi .wewe na wabongo wenzako mnaofanya kazi pole pole mtajijua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukifanya kazi kwa muhindi akili yako itarudi ukiwa unakaribia kufa
Sent using Jamii Forums mobile app
sahihi kabisaHata mimi nashangaa mhindi akili nyingi mno hizo kazitoa wapi[emoji15][emoji16]
kweli mkuuUnaweza kuwa na Masters ya kwenye Makaratasi tu ambayo vijana wengi wa Kibongo ndio wanayo ila kiuhalisia umeshindwa kuwashawishi waajiri wako kiutendaji kwamba una Masters. Tatizo kubwa ambalo wengi hatutaki kulielewa ni kwamba hawa wenzetu tukubali au tukatae, they are ahead of us. itakutolea mfano mmoja. Mtoto wa Kibindi anaanza kujifunza Excell tangu akiwa Form Two wewe unaanza kujifunza excell baada ya kumaliza Chuo sasa hapo mnadhani utakuwa sawa nae?
Kingine ni kwenda nao sawa. If you are not smart and sharp huwezi kufanya kazi na wahindi mkaelewana. Nenda Kenya tu hapo huwezi sikia Wahindi wanalalamikiwa kama hapa do you know why?
Na huyo Dogo wa Kihindi unaemsema kasoma vyuo vya mtaani ukimchunvuza anakuwa yupo vizuri kichwani kuliko wewe na BCOm yako ya UDSM au UDOM. sasa kwenye ukweli lazima tukubaliane tuache ubaguzi.
yeap ni wachafu sana mtu msafi awezi kuchafua hewa mbele za watu huo ni uchafuKwenye kujamba hapo mkuu nakubaliana na wewe halafu hawajishtukii wala nini
ubarikiwe sana mkuu nimepata kitu hapa.Ni kweli wahindi Ni wakatili hii n kutokana na mazingira ya huko kwao kuwa wapo wengi kuzidi eneo lao Ni Kama hapa bongo useme wachaga wote warudi kwao Kilimanjaro haitotosha da same kwa wahindi pia.
Kule Anita ya kupata ugali bars la Asia kiujumla n ngumu mno na ikitokea kapata nafasi huwa afanyikosa anaprove kuwa yeye n mtu sahihi ili asirudi kule alikotoka ndomana hawa wahindi wanaokuja huku huona kwao n bahati Sana na hawafanyi kosa lolote kwa boss wao ili wasirudishwe kwao.
Ukatili wa muhindi unaanza yikes huko kwao Asia + mazingira ya mtanzania n ya kivivu, hatujiongezi, hatuheshimu muda, hatuna malengo ya muda mrefu na muda mfupi, tunawaza ngono+ushirikina kuliko kujiongeza ili kuzalisha zaidi yaani mtanzania mfano apate sababu tuu utamsikia Yan atashikilia hapo wakati kazi inataka uiprove kwa boss wako pale unapokutana na -ve situation na ukaiwin na Mambo yakaenda Kama kulikuwa hakuna kitu ila mtanzania hapo utakuwa umempa sababu ya kutokufanya Hilo Jambo.
MTANZANIA NI MVIVU NA MZEMBE
ukiwa mvivu na mzembe Basi kulalamika lalamika lazima kuwe n sehemu ya maisha yako kubali au ukatae Ila huo ndo ukweli.
Angalia hata jinsi tunavyotembea mfano majuxi Kati Mimi na rafiki yangu tulienda Nairobi kucheki fursa tulifika saa 12asbh tukawa tunajiuliza Hawa watu wamechelewa wapi jinsi wanavyotembea n Kama wale watu ambao zimebaki dk 2 kuingia Shule au kanisani vile wansvyowaigi mbaya zaidi wakati tukiwa mizungukoni tulijikuta mbele yetu tumetengeneza gape kubwa Kati ya waliopo mbele yetu nasisi huku nyuma yetu tukiwa tumexongwa nikajua sisi n watanzania n wazembe atupo fast.
Mtanzania n anafikiria apate 100millions ajenge jumba kubwa, anunue Gari za kifahari, amiliki kila msichana anaepita mbele yake.
Wakati mhindi anawaza Ile 1million aiweke kwenye Biashara mpaka ifike 10m
Muhindi anaenda kula nyumbani anapanga chumba sebule na jiko, kanunua ki vits Ina cc 990.
wewe mtanzania unaenda kula migawa ya Bei, umepanga upande mzima au nyumba nzima, unanunua crown cc2450
Unafikiri Nani mjinga hapo?
Muhindi anakufix uwe stable na maisha na kaxini kwa mtu Alie serious Ila ukiwa mvivu utamuona anakunyanya pia jua THE WORLD IS NOT FAIR hvyo jipange.
MUHINDI Kuna kitu anakuonyesha wewe mtanzania Ila uzuzu wetu tunaona wanatubana mfano Kama unafanya kazi ya mauzo kwa muhindi na unajua kitu flani kinauzwa 50,000/= na Kama ikipungua na kwa mwezi unauza zaidi ya 100pcs na mshahara wako wewe n 70,000/= kuuza unauza bado Kazin unafika kwa wakati na anakupigia mikelele Sasa hapo muhindi anakunyanyasa au anakuamsha uamke?
Nimefanya kazi na Hawa jamaa hvyo Mimi nasema UKITAKA KUJIFUNZA KAZI NENDA KWANZA KAFANYE KAZI NA MUHINDI ALAFU NDO UENDE KWA MZUNGU yaan MZUNGU atakupenda mno jinsi utakavyokuwa unajituma.
Ndo Mana wakenya hawana vilio vya kijinga kuhusu wahindi Kama sisi watanzania
Tupambane mkuuubarikiwe sana mkuu nimepata kitu hapa.
Wewe ni wale wanaodhani dunia yote Ina dini mbili Ukristo na Uislam!Wahindi na ushirikina ni mtoto na nyonyo
Ofisini kwao wamejaza yale madude wanayachoma moto kila asubui na hamna mtu anaruhusiwa kuingia mpaka wamalize mambo yao!
Na pili wana wivu sana na roho za choyo hata awe amefanikiwa vipi mfano halisi modewji!
We jamaa usituchoshe .kwani kufanya usiku ni kiungo kipi akionekani nawakati taa zipo. sema labda kwa wale wanao penda kuzima taa.ooh, hapana, waposahihi kuliko ninyi mnaopenda kufanyana usiku.
Mchana ,mnaonana mwili na maungo kuliko usiku giza tu.
mkuu hupo sahihi kabisa.Mhindi ana roho ya kimaskini Kama Mwafrika tu, akifika sehemu hapaendelei Wala nini.
Mtu wa kumkaribisha na akutajirishe nu mzungu tu. Aangalie South Africa, Australia, New Zealand.
Na hata nchi za kiarabu zene mafuta zilikubalia kushare rasilimali zao na wazungu katika uzalishaji na mauzo, Leo wanafaidi matunda.
Anzeni kujamba adharani kama wao.Vipi tunaotaka kuolewa na wahindi tufanyaje
kwamba atoke kwenye nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni wale wanaodhani dunia yote Ina dini mbili Ukristo na Uislam!
Toka humo kwenye box lako!
Naomba nikuache tu ili yaishe kwa amaniWewe ni wale wanaodhani dunia yote Ina dini mbili Ukristo na Uislam!
Toka humo kwenye box lako!
Kwanini unapinga wakati madaktari bingwa wengi wanapatikana India? Usisahau pia hawa jamaa wanamiliki hadi mabomu ya nyuklia,Satelite n.kNamba moja sio kweli labda uniambie ni akili ya ujanja ujanja mwingi na kupenda shortcut
Hapa nimekubali,kuhusu umbea na unafiki wako vizuri,muhindi ata ukifanya kazi vizur ana kuchukia.Wachafu sana na ni washirikina sana hakuna mhindi asiye na hirizi,wana possible hawana impossible,wanafiki sana na wambea
Si kwel mkuu,gengeni bidhaa ni cheap sana unaweza ata kubagein ,supermarket hamna bagein ata yesu arudi.mara nyingi bidhaa supermarket inakuwa juu..Exactly tena Supermarket bidhaa nyingi tu Ni cheap