Acha kabisa. Niliishi nao hostel moja ya Aga Khan miaka hiyo yaani ni wachafu balaa. Vyumba vyao kuta zimejaa alama za lips zilizopakwa lipstick. Chooni sasa..... Usiwaone na malipstik yo mtaani, bure kabisa.Vipi suala la usafi?
Hao waarabu wa nchi gani mkuu,kuna nchi nyingi za waarabu.Kuna wale Waarabu wa asili weupe, nywele laini ndevu laini most of them wako pouwa sana, wanaroho nzuri munoo. Waarabu koko/wakuchovya sifahamu.
Ukija kwa wadosi dahhhh, hii jamii kufanyanao kazi ni shuguli kweli kweli. Waweza ikimbia kazi.
Bosi wako akiwa mzungu or mwarabu utaenjoy sana mzehe.
Afghanistan LOL!Hao waarabu wa nchi gani mkuu,kuna nchi nyingi za waarabu.
Wewe labda ulikutana na waarabu wa tabora
Afghanistan hawaitwi waarabuAfghanistan LOL!
Waajemi eti au?Afghanistan hawaitwi waarabu
WachawiSiku za karibuni nilibahatika kuanza kufanya kazi na jamii ya wahindi katika kipindi hiki kifupi nimejifunza vitu vingi haswa tabia zao.
1. Wahindi ni watu wenye akili mno (genius)
2. Wahindi watu wenye kufanya vitu vyao kwa haraka haraka tofauti na sisi wabongo.
3. Walalamishi mno, watakulalamikia hata kama umefanya kosa la kibinadamu ambalo hata yeye anaweza akalifanya.
4. Wabahili mno
5. Hawana huruma
Tupe uzoefu wako kama ulishawahi kufanya kazi na Wahindi
Kwa uchawi vipi? Kwanini wametushinda sana?Namba moja sio kweli labda uniambie ni akili ya ujanja ujanja mwingi na kupenda shortcut
Na Mo ni mnafiki na muongo sana..ndio maana akafika hapo alipo...Manara hajanyanyaswa, sema tu kajifukuzisha kazi mwenyewe kwani jamaa ni mnafiki na muongo sana. Hata wewe ungemfukuza klabuni kwako.
ndioWaajemi eti au?
Mkuu umelinganisha vipi ili kujua uchawi wa nchi fulani ni mzito kuliko nvhi fulaniKwa uchawi vipi? Kwanini wametushinda sana?
Nimegundua uchawi wa Tanzania ni mwepesi mno ukilinganisha na ule wa Malawi, D. R. Congo, Nigeria, Misri, Romania, India, etc
Wanapenda kutoa adv salary tarehe 15th kwa cash....usipochukua wanakununia.Siku za karibuni nilibahatika kuanza kufanya kazi na jamii ya wahindi katika kipindi hiki kifupi nimejifunza vitu vingi haswa tabia zao.
1. Wahindi ni watu wenye akili mno (genius)
2. Wahindi watu wenye kufanya vitu vyao kwa haraka haraka tofauti na sisi wabongo.
3. Walalamishi mno, watakulalamikia hata kama umefanya kosa la kibinadamu ambalo hata yeye anaweza akalifanya.
4. Wabahili mno
5. Hawana huruma
Tupe uzoefu wako kama ulishawahi kufanya kazi na Wahindi
ni kweli kitendo cha wao kuwa nje ya nchi yao kinawafanya wafikirie kwa akili zaidi kwa kuwa muda hauwatoshi saa yoyote gwaride linaweza kubadilika wakaambiwa nyuma geuka.Siku za karibuni nilibahatika kuanza kufanya kazi na jamii ya wahindi katika kipindi hiki kifupi nimejifunza vitu vingi haswa tabia zao.
1. Wahindi ni watu wenye akili mno (genius)
2. Wahindi watu wenye kufanya vitu vyao kwa haraka haraka tofauti na sisi wabongo.
3. Walalamishi mno, watakulalamikia hata kama umefanya kosa la kibinadamu ambalo hata yeye anaweza akalifanya.
4. Wabahili mno
5. Hawana huruma
Tupe uzoefu wako kama ulishawahi kufanya kazi na Wahindi
Hii kitu ina ukweli ama rumous..mana ikifika mchana huwa wanafunga maduka yao.Kwakuwa wanaka chumba kimoja, hufanya mapenzi mchana muda wa lunch , ndio maana hufunga maduka masaa mwili ya mchana.
Watanzania huufuata uchawi huko. Hamna Nigerian anayekuja kupikwa bongo, wala mkongomanMkuu umelinganisha vipi ili kujua uchawi wa nchi fulani ni mzito kuliko nvhi fulani
ooh sawaWatanzania huufuata uchawi huko. Hamna Nigerian anayekuja kupikwa bongo, wala mkongoman
Mbona husemi kama ni wabaguzi.Siku za karibuni nilibahatika kuanza kufanya kazi na jamii ya wahindi katika kipindi hiki kifupi nimejifunza vitu vingi haswa tabia zao.
1. Wahindi ni watu wenye akili mno (genius)
2. Wahindi watu wenye kufanya vitu vyao kwa haraka haraka tofauti na sisi wabongo.
3. Walalamishi mno, watakulalamikia hata kama umefanya kosa la kibinadamu ambalo hata yeye anaweza akalifanya.
4. Wabahili mno
5. Hawana huruma
Tupe uzoefu wako kama ulishawahi kufanya kazi na Wahindi
Au anaongelea magenge ya o-bay huko kwa wadosi.Amekariri huyo jamaa