Uchaguzi 2020 Nimegundua hizi kampeni zinafanyika kwa upendeleo “hazina usawa”

Hata hivyo haitamsaidia kitu. Wananchi washamjua hawezi lolote huyu hata apewe miaka 15 mingine
 
CCM ni police na majeshi meshine ila bila ya hivo ni wepesi sana
 
Haya mashetan👹👹👹yakijan Maccm haya nayachukia sanaaa yan yanajifanya yenyewe yapo juu yasheria. lakin one day yatafutika2 kwenye uso wa dunia natanzania itakuwa inch ya ahad
 
Kwahiyo kama sasa kipindi hiki cha kampeni nchi ingetakiwa iwe haina rais?
kwani akipatwa na shida yoyote kwa sasa na makamu wake kwani katiba inasema nini? NDIO HIYO ITUMIKE KWA WAKATI HUU, KATIBA IREKEBISHWE ILI AKAE MTU AMBAYE SI MGOMBEA. Pia asiwe mwanachama wa CHAMA CHOCHOTE. Pia ikitokea dharura kama vita aweze kuchukua madaraka ya kuliongoza taifa. Hata wabunge wakati huo inabidi warudi kutoa mwongozo kwa serikali.
 
Katika kampeni zinazoendelea, nimeona zinakibeba chama cha mapinduzi kwa sehemu kubwa, kwani viongozi wanaogombea bado wanako madarakani na wamekuwa wakiendelea kutoa maagizo kwa mamlaka zilizo chini yao,

Mfano: Unakuta mgombea urais anatoa maagizo ya kujenga barabara na pia kutoa pesa hadharani kama zawadi, Makamu wake akiagiza halmashauri kuongeza pesa za mikopo kwa vikundi mbalimbali, huku Waziri mkuu akiagiza kurejeshwa kwa baadhi ya mashamba huko Singida.

Hivi hao wapinzani wakitoa misaada wakati huu wa kampeni si watachukuliwa wanatoa rushwa?

Natamani katiba ibadilike tu, kikifika kipindi cha kampeni kila aliyekuwa na madaraka avuliwe ili waingie uwanjani wakiwa katika kiwango kimoja tofauti na sasa.
Cha kufurahisha sasa ni kwamba wananchi wanawadharau mno hao viongozi
 
Akili ya CCM wanafikiri wakihodhi media zote (Magazeti, Redio na TV's) mbaya zaidi zikiwemo za umma kuzifanya ni zao binafsi huku siku nzima zikitangaza mambo yale yale ya bombadia, madaraja na reli - wanaweza kuwadhoofisha wengine.

Sasa msimu huu wanakwenda kubakia midomo wazi kama wamefumaniwa!!
 
Katiba (Mfumo) mbovu ndio chanzo cha yote haya.
 
kwani akipatwa na shida yoyote kwa sasa na makamu wake kwani katiba inasema nini? NDIO HIYO ITUMIKE KWA WAKATI HUU, KATIBA IREKEBISHWE ILI AKAE MTU AMBAYE SI MGOMBEA. Pia asiwe mwanachama wa CHAMA CHOCHOTE. Pia ikitokea dharura kama vita aweze kuchukua madaraka ya kuliongoza taifa. Hata wabunge wakati huo inabidi warudi kutoa mwongozo kwa serikali.
Ok nimekuelewa ila je hichi ulichofikiri pia kinafanyika kwengineko au sie tu ndio tunataka hivyo?
 
Katika kampeni zinazoendelea, nimeona zinakibeba chama cha mapinduzi kwa sehemu kubwa, kwani viongozi wanaogombea bado wanako madarakani na wamekuwa wakiendelea kutoa maagizo kwa mamlaka zilizo chini yao,

Mfano: Unakuta mgombea urais anatoa maagizo ya kujenga barabara na pia kutoa pesa hadharani kama zawadi, Makamu wake akiagiza halmashauri kuongeza pesa za mikopo kwa vikundi mbalimbali, huku Waziri mkuu akiagiza kurejeshwa kwa baadhi ya mashamba huko Singida.

Hivi hao wapinzani wakitoa misaada wakati huu wa kampeni si watachukuliwa wanatoa rushwa?

Natamani katiba ibadilike tu, kikifika kipindi cha kampeni kila aliyekuwa na madaraka avuliwe ili waingie uwanjani wakiwa katika kiwango kimoja tofauti na sasa.
Hiyo ni wish-wash; hakuna katiba dunia nzima inayosema hivyo. Mpaka Leo trump anapiga kampeini kwa kutumia ndege ya serikali ingawa anailipia na vile vile anaendesha serikali kama kawaida.Inaitwa advantage ya incumbency. Urais unakwisha wakati rais mwingine akiapishwa. Kinachotakiwa ni kuweka boundary baina ya kampeini za kisiasa na uendeshaji wa serikali, yaani itamkwe tu kuwa wakati mgombea anafanya kampeini za kisisasa asifanye kazi za kiserikali; kwa lugha nyingine, asitoe maagizo kwa wafanyakazi wa serikali wakati anafanya siasa.
 
Katika kampeni zinazoendelea, nimeona zinakibeba chama cha mapinduzi kwa sehemu kubwa, kwani viongozi wanaogombea bado wanako madarakani na wamekuwa wakiendelea kutoa maagizo kwa mamlaka zilizo chini yao,

Mfano: Unakuta mgombea urais anatoa maagizo ya kujenga barabara na pia kutoa pesa hadharani kama zawadi, Makamu wake akiagiza halmashauri kuongeza pesa za mikopo kwa vikundi mbalimbali, huku Waziri mkuu akiagiza kurejeshwa kwa baadhi ya mashamba huko Singida.

Hivi hao wapinzani wakitoa misaada wakati huu wa kampeni si watachukuliwa wanatoa rushwa?

Natamani katiba ibadilike tu, kikifika kipindi cha kampeni kila aliyekuwa na madaraka avuliwe ili waingie uwanjani wakiwa katika kiwango kimoja tofauti na sasa.
Awamu ya tano bado iko madarakani ndio maana unatamba bila shida.
 
Back
Top Bottom