Uchaguzi 2020 Nimegundua hizi kampeni zinafanyika kwa upendeleo “hazina usawa”

Uchaguzi 2020 Nimegundua hizi kampeni zinafanyika kwa upendeleo “hazina usawa”

Magufuli alijipa kazi ya kutaka kuiua CHADEMA akitaka kuifuta kama yeye ni Msajili wa vyama vya siasa.

Hakuna biashara mbaya na kichaa kama ile ya kununua wabunge wa upinzani kwa madai wameunga juhudi.
sahivi wananunua vigombea vya NCCR
 
Kwani kwa akili zako unaiona CHADEMA iko hai ? Pole sana hilo li chama ni maiti inayotembea
Magufuli alijipa kazi ya kutaka kuiua CHADEMA akitaka kuifuta kama yeye ni Msajili wa vyama vya siasa.

Hakuna biashara mbaya na kichaa kama ile ya kununua wabunge wa upinzani kwa madai wameunga juhudi.
 
Huyo Lissu hana uwezo wa kuvunja amani nchi hii, kama huamini subiri siku baada ya uchaguzi
Pale tume kuna yule sijui mjita au mkurya anaitwa mahela, yaani ushabiki wake kwa ccm haufichwi kamwe.Leo katishia kumsimamisha lissu kwenye kupiga kampeni kisa eti katishia kuvunja amani, wakati magu kanda ya ziwa katwanga kilugha mwanzo mwisho kinyume cha maadili ya tume. Tume wako kimya tu
 
Mimi nafahamu Siku zote hofu haitokani na Mungu bali shetani.Biblia inasema,"kwenye upendo hakuna hofu" na watu tunajua Mungu Ni Pendo.Yeyote anayeleta hofu si wa Mungu bali ni wa shetani!
 
Kwahiyo kama sasa kipindi hiki cha kampeni nchi ingetakiwa iwe haina rais?
Ilistahili mamlaka ya Rais kukasimiwa kwa mtu mwingine kwa muda?

Wakati wa utawala wa Mwalimu, Nyerere wakati wa kugombea nafasi ya Urais, kipindi hicho Umwenyekiti wa Chama, ambao ndio ulikuwa cheo cha juu kabisa ndani ya mfumo wa chama kimoja, ulikuwa unasimiwa.

Mara mbili ulikasimiwa na Mzee Thabiti Kombo.

Hiki tunachokifanya sasa hivi ni ujinga wa hali ya juu! Eti mgombea bado ni Rais, anagomvea huku anasema anaendelea kutimiza wajibu wake kama Rais!! Hopeless kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale tume kuna yule sijui mjita au mkurya anaitwa mahela, yaani ushabiki wake kwa ccm haufichwi kamwe.Leo katishia kumsimamisha lissu kwenye kupiga kampeni kisa eti katishia kuvunja amani, wakati magu kanda ya ziwa katwanga kilugha mwanzo mwisho kinyume cha maadili ya tume. Tume wako kimya tu
Huyo Mahera ni mpuuzi wa hali ya juu. Anajikomba kwa CCM hadi anatia kinyaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ikitokea ccm ikaondoka madarakani Tanzania tutaishi maisha mazuri sana!!
Tatizo lililopo ni kuwa ni kazi ngumu sana kumwondoa kiongozi mbaya kutoka kwenye mamlaka au hata kukionfoa chama kibaya kama CCM kutoka kwenye uongozi wa nchi.

Ni rahisi sana kumwondoa kwenye madarka kiongozi mzuri, na mara nyingi akilalamikiwa, huweza hata kujiondoa nwenyewe lakini siyo kiongozi mbaya.

Viongozi wabaya, na vyama vya kifikteta kama CCM huondolewa kwa sululu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani katiba ibadilike tu, kikifika kipindi cha kampeni kila aliyekuwa na madaraka avuliwe ili waingie uwanjani wakiwa katika kiwango kimoja tofauti na sasa.
mlipewa nafasi mkaichezea
 
Kuna Chama kikisikia ulinzi wa kura kinachafukwa kabisa tumbo la kuharisha.Hii inaashiria nini?
 
Kwahiyo kama sasa kipindi hiki cha kampeni nchi ingetakiwa iwe haina rais?
Mkuu mbona una uelewa wa chini kiais hiki? Ulisoma shule ya kata nini?
Pliz waweza niambia ulipata taarifa wapi kuhusu jamiiforum?
 
Pale tume kuna yule sijui mjita au mkurya anaitwa mahela, yaani ushabiki wake kwa ccm haufichwi kamwe.Leo katishia kumsimamisha lissu kwenye kupiga kampeni kisa eti katishia kuvunja amani, wakati magu kanda ya ziwa katwanga kilugha mwanzo mwisho kinyume cha maadili ya tume. Tume wako kimya tu
Mkuu mbwa hawezi mbwekea boss wake
 
Kwa hiyo mtu akiwa Mgombea kwenye jimbo flani basi haruhusiwi kwenda Mkoa mwingine wowote kumpigia Debe Mgombea Mwingine ?
Je Hivo ni kweli Wagombea Urais wa Vyama Vyote kwa TZ hawazunguki kunadi sera zao na watu wa Majimbo mengine??
Waziri Mkuu pia ni Mtanzania NA ana haki yake Kikatiba kwenda Mkoa wowote kama RAIA Mwingine wa Tanzania.
Cha muhimu ni Kuwa Tujitahidi Tarehe ya Uchaguzi Ikifika Twende Tukapige Kura. Chagua Unayemtaka!
Humu Jukwaani (online) na Vijiweni tutapiga makelele kimaandishi bure tu. Just mark the date, when the time comes go and cast your vote!!
Mkuu umesoma shule gani? Mbona una uelewa kama Mataga?
 
Hakuna chama kisichofaa Duniani kama chama ambacho wanachama wake na haswa viongozi wananunulika kama bidhaa.
Unaandika nini..Nassari alifuatwa na majitu yenye silaha za kivita ulitaka afanye vp
 
Mkuu umesoma shule gani? Mbona una uelewa kama Mataga?
nimesoma kwenye public schools (government) kuanzia Standard One mpaka College.
Jibu hoja stop attacking a person. Nimetoa hoja ya msingi.
Hongera wewe uliyesoma international schools dizaini za IST, Braeburn International School etc. kwa Mtaala wa Cambridge. Hivyo onesha u-genius wako kwa kujibu hoja na sio kumshambulia mtu.
Kwa wewe mwenye uelewa mkubwa utusaidie sasa, "Hivi ukiwa mgombea wa jimbo flani, Je ni kweli huruhusiwi kwenda jimbo lingine kumuunga mkono Mgombea Urais ambaye ni wa chama chako??"
Kwa vyama vyote iwe ni ACT-Wazalendo, CCM, CHAUMMA, CHADEMA etc.
Je ni kweli wagombea Urais wa vyama vingine hawaendi kwenye kampeni na watu ambao wanaogombea kwenye majimbo mengine???

Mpaka hapo tayari umeshajionesha kwamba wewe ndo Mataga mwenyewe sasa. Jibu Hoja ndugu Mataga
 
Mkuu wewe kuwa mataga siyo dhambi na wala usijisikie vibaya, pia wapi nimesema kuwa nimesoma shule za international?
Waziri mkuu au Makamu wa Rais anapomsindikiza JPM kwenye kampeni na kuanza kutoka maelekezo ya kiserikali, hapo wanakuwa wamesimama kama akina nani?
Upande wa upinzani, umewahi kusikia wakitoa maelekezo yoyote ya kiserikali?
Then ukiambiwa wewe ni mataga unabisha na kunigeuzia mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom