Ooh yes
Senior Member
- Jul 31, 2020
- 174
- 116
Refa anawabebaKipi kilicho wazi wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refa anawabebaKipi kilicho wazi wewe?
Aache tu kuigiza na kujilazimisha eti yeye ni raisAisee! basi sawa.
Sasa nashangaa hizi lawama kwa Magufuli za nini?
sahivi wananunua vigombea vya NCCRMagufuli alijipa kazi ya kutaka kuiua CHADEMA akitaka kuifuta kama yeye ni Msajili wa vyama vya siasa.
Hakuna biashara mbaya na kichaa kama ile ya kununua wabunge wa upinzani kwa madai wameunga juhudi.
Magufuli alijipa kazi ya kutaka kuiua CHADEMA akitaka kuifuta kama yeye ni Msajili wa vyama vya siasa.
Hakuna biashara mbaya na kichaa kama ile ya kununua wabunge wa upinzani kwa madai wameunga juhudi.
Pale tume kuna yule sijui mjita au mkurya anaitwa mahela, yaani ushabiki wake kwa ccm haufichwi kamwe.Leo katishia kumsimamisha lissu kwenye kupiga kampeni kisa eti katishia kuvunja amani, wakati magu kanda ya ziwa katwanga kilugha mwanzo mwisho kinyume cha maadili ya tume. Tume wako kimya tu
Naongelea adhabu stahiki kwa wezi wa mabilioni ya fedha za umma kwa matumizi ya kijinga Kama kununua wabunge na madiwani wa upinzaniChina ni MONOPARTISM au unataka tuwe kama China eeh kisiasa? Na kule China upinzani hakuna.
Katiba mbovu pamoja na ubavu wake bado inasiginwa zaidi ndio mtaji wa CCM!Katiba (Mfumo) mbovu ndio chanzo cha yote haya.
Ilistahili mamlaka ya Rais kukasimiwa kwa mtu mwingine kwa muda?Kwahiyo kama sasa kipindi hiki cha kampeni nchi ingetakiwa iwe haina rais?
Huyo Mahera ni mpuuzi wa hali ya juu. Anajikomba kwa CCM hadi anatia kinyaa.Pale tume kuna yule sijui mjita au mkurya anaitwa mahela, yaani ushabiki wake kwa ccm haufichwi kamwe.Leo katishia kumsimamisha lissu kwenye kupiga kampeni kisa eti katishia kuvunja amani, wakati magu kanda ya ziwa katwanga kilugha mwanzo mwisho kinyume cha maadili ya tume. Tume wako kimya tu
Tatizo lililopo ni kuwa ni kazi ngumu sana kumwondoa kiongozi mbaya kutoka kwenye mamlaka au hata kukionfoa chama kibaya kama CCM kutoka kwenye uongozi wa nchi.Siku ikitokea ccm ikaondoka madarakani Tanzania tutaishi maisha mazuri sana!!
mlipewa nafasi mkaichezeaNatamani katiba ibadilike tu, kikifika kipindi cha kampeni kila aliyekuwa na madaraka avuliwe ili waingie uwanjani wakiwa katika kiwango kimoja tofauti na sasa.
Mkuu mbona una uelewa wa chini kiais hiki? Ulisoma shule ya kata nini?Kwahiyo kama sasa kipindi hiki cha kampeni nchi ingetakiwa iwe haina rais?
Mkuu mbwa hawezi mbwekea boss wakePale tume kuna yule sijui mjita au mkurya anaitwa mahela, yaani ushabiki wake kwa ccm haufichwi kamwe.Leo katishia kumsimamisha lissu kwenye kupiga kampeni kisa eti katishia kuvunja amani, wakati magu kanda ya ziwa katwanga kilugha mwanzo mwisho kinyume cha maadili ya tume. Tume wako kimya tu
Mkuu umesoma shule gani? Mbona una uelewa kama Mataga?Kwa hiyo mtu akiwa Mgombea kwenye jimbo flani basi haruhusiwi kwenda Mkoa mwingine wowote kumpigia Debe Mgombea Mwingine ?
Je Hivo ni kweli Wagombea Urais wa Vyama Vyote kwa TZ hawazunguki kunadi sera zao na watu wa Majimbo mengine??
Waziri Mkuu pia ni Mtanzania NA ana haki yake Kikatiba kwenda Mkoa wowote kama RAIA Mwingine wa Tanzania.
Cha muhimu ni Kuwa Tujitahidi Tarehe ya Uchaguzi Ikifika Twende Tukapige Kura. Chagua Unayemtaka!
Humu Jukwaani (online) na Vijiweni tutapiga makelele kimaandishi bure tu. Just mark the date, when the time comes go and cast your vote!!
Unaandika nini..Nassari alifuatwa na majitu yenye silaha za kivita ulitaka afanye vpHakuna chama kisichofaa Duniani kama chama ambacho wanachama wake na haswa viongozi wananunulika kama bidhaa.
nimesoma kwenye public schools (government) kuanzia Standard One mpaka College.Mkuu umesoma shule gani? Mbona una uelewa kama Mataga?
Mkuu wewe kuwa mataga siyo dhambi na wala usijisikie vibaya, pia wapi nimesema kuwa nimesoma shule za international?nimesoma kwenye public schools (government) kuanzia Standard One mpaka College.
Jibu hoja stop attacking a person. Nimetoa hoja ya msingi.
Hongera wewe uliyesoma international schools dizaini za IST, Braeburn International School etc. kwa Mtaala wa Cambridge. Hivyo onesha u-genius wako kwa kujibu hoja na sio kumshambulia mtu.
Kwa wewe mwenye uelewa mkubwa utusaidie sasa, "Hivi ukiwa mgombea wa jimbo flani, Je ni kweli huruhusiwi kwenda jimbo lingine kumuunga mkono Mgombea Urais ambaye ni wa chama chako??"
Kwa vyama vyote iwe ni ACT-Wazalendo, CCM, CHAUMMA, CHADEMA etc.
Je ni kweli wagombea Urais wa vyama vingine hawaendi kwenye kampeni na watu ambao wanaogombea kwenye majimbo mengine???
Mpaka hapo tayari umeshajionesha kwamba wewe ndo Mataga mwenyewe sasa. Jibu Hoja ndugu Mataga