Nimegundua idadi kubwa ya Watanzania au Africa tumetumia camera moja kuangalia shuti la Ki Aziz

Chance ndoto

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2017
Posts
4,363
Reaction score
10,265
photo_2024-04-06_14-31-24.jpg
Nawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi.

Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani.
Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na haujafiika upande wa ndani wa goli. Hivo msimlaumu refa.

Nipo naandaa video muone kwamba lile si goli ila kwa muda huu. Nimeandika niwatoe wasiwasi wana jangwani na viongozi wenu wa juu, kama Mwana FA na Kimgwagala yule.
 
Hivi mbona camera za nyuma au angle nyingine hazijaonyeshwa? Ina maana upande wa goli like hakuwa na kamera za nyuma?

By the way I m Simba fan but Yanga deserved that goal.
Sasa Azam Wana camera gani za kuzoom Lile goli 😂 pale var ndo inaonesha kila kitu camera za tv ukizoom utaona goli ila kisheria sio
 
huwenda una matatizo ya akili au hauna akili timamu!
page nyingi za soka africa wanadai ilo no goli halali, unahisi wote walikua wanaangalia camera za azam tv?

pia jiulize kwanini Refa hakwenda kujiridhisha kwenye VAR ila akawasiliana tu kwa vifaa vyake vya mawasiliano na watu waliopo chumba cha VAR?
 
Nawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF , Kwaajili ya shuti la aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi.
Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani.
Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na haujafiika upande wa ndani wa goli. Hivo msimlaumu refa.
Nipo naandaa video muone kwamba lile si goli ila kwa muda huu. Nimeandika niwatoe wasiwasi wana jangwani na viongozi wenu wa juu, kama Mwana FA na Kimgwagala yule.
Wao wenyewe hawajatuonesha kwa hii camera, kwa kuhofia kuonekana waziwazi kuwa lile ni goli
1000090776.jpg
 
Nawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi.

Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani.
Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na haujafiika upande wa ndani wa goli. Hivo msimlaumu refa.

Nipo naandaa video muone kwamba lile si goli ila kwa muda huu. Nimeandika niwatoe wasiwasi wana jangwani na viongozi wenu wa juu, kama Mwana FA na Kimgwagala yule.
Mimi ni Simba, na nimefurahi Yanga kutolewa, lakini ukweli usemwe, lile ni goli halali kabisa kwa Yanga, pale wameonewa. Kwanini? Picha zote za kamera na video ambazo mpaka sasa zimetolewa zinaonyesha mpira ulivuka mstari wa goli kwa 100%.
 
Back
Top Bottom