Nimegundua idadi kubwa ya Watanzania au Africa tumetumia camera moja kuangalia shuti la Ki Aziz

Ni kweli
 
Attachments

  • IMG-20240407-WA0024.jpg
    IMG-20240407-WA0024.jpg
    156.7 KB · Views: 3
Nawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi.

Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani.
Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na haujafiika upande wa ndani wa goli. Hivo msimlaumu refa.

Nipo naandaa video muone kwamba lile si goli ila kwa muda huu. Nimeandika niwatoe wasiwasi wana jangwani na viongozi wenu wa juu, kama Mwana FA na Kimgwagala yule.
Yani ww ndo unaandaa video kuonyesha n goli au sio goli 😂 haya kazi njema
 
Acha ujuaji, mechi zote za CAF zinazochezwa Tz zinafanywa na Azam hata ufunguzi wa AFL wamefanya Azam.
Kwa hiyo pale south Africa kwenye mechi ile Azam ndio alikuwa anachukua picha!?
 
Bro hv una akili timamu kweli.?

Nmekuambia mechi zinazochezwa Tz ndo Azam anafanya production halafu ww tena unakuja kusema mambo ya south Africa, kwan south Africa Ni Tanzania.?
 
Pumbavu ,mnajaza servers Tu humu kwa mada zenu za kipumbavu na ushabiki maandazi wa timu zenu za misukule hizo simba na yanga

Mnashinda kujadili mambo ya muhimu yanayogusa nchi na maisha ya watu ,mnakesha kuzungumzia mavi

Ndio maana ccm inaendelea kutawala taifa la misukule na wapumbavu hili miaka na miaka .
Vichwa vikubwa akili kamasi .

Stupid kabisa
 
Kelele zote hizi ni kwa Mwakarobo alikuwa almanusura abaki peke yake kwenye robo? Itoshe kusema lile ni goli Yanga wamedhulumiwa! Hata kama ungekuwa na TV ndogo kama ya Mwalimu wa UPE Oscar Oscar Mzee wa Kaliua ungeona kabisa lile ni goli!
 
Bro hv una akili timamu kweli.?

Nmekuambia mechi zinazochezwa Tz ndo Azam anafanya production halafu ww tena unakuja kusema mambo ya south Africa, kwan south Africa Ni Tanzania.?
Fatilia mjadala uone. Wa kwanza kumjibu nilimuambia hakuna camera za Azam pale, baada ya kudai mbona camera za Azam hazijaonesha upande wa pembeni ili kumaliza ubishi wa goli au sio goli.
 
Nawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi.

Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani.
Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na haujafiika upande wa ndani wa goli. Hivo msimlaumu refa.

Nipo naandaa video muone kwamba lile si goli ila kwa muda huu. Nimeandika niwatoe wasiwasi wana jangwani na viongozi wenu wa juu, kama Mwana FA na Kimgwagala yule.

Wewe video ingine unayo ukiacha hiyo ambayo tumeiona wote? Manake hata mimi niliwaza kama wewe, lakin nikajiuliza video ingine nitapata wapi?

Warusha matangazo yale wote hupata kibali kutoka CAF ya Motsepe mwenye Mamelodi yake, hawezi kuruhusu video zingine zisambae ili aaibike.

Siamini eti camera zote za pale uwanjani hakuna yenye ingeweza kupata picha ya aina hii hapa chini,
images (21).jpeg

images (20).jpeg
images (22).jpeg
 
Acha ujuaji, mechi zote za CAF zinazochezwa Tz zinafanywa na Azam hata ufunguzi wa AFL wamefanya Azam.
Watu wanazungumzia Loftus Stadium we wasemea BWM Stadium??
 
Kelele zote hizi ni kwa Mwakarobo alikuwa almanusura abaki peke yake kwenye robo? Itoshe kusema lile ni goli Yanga wamedhulumiwa! Hata kama ungekuwa na TV ndogo kama ya Mwalimu wa UPE Oscar Oscar Mzee wa Kaliua ungeona kabisa lile ni goli!
Poleeeeh wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fatilia mjadala uone. Wa kwanza kumjibu nilimuambia hakuna camera za Azam pale, baada ya kudai mbona camera za Azam hazijaonesha upande wa pembeni ili kumaliza ubishi wa goli au sio goli.
Umesema Azam wanaishia ligi kuu tuu ndio nkakujibu kuwa Azam wanafanya Caf zinazofanyika Tz na ufunguzi wa AFL wamefanya Azam.

Watu wanazungumzia Loftus Stadium we wasemea BWM Stadium??
Acha bangi, nmemjibu alivyosema kuwa Azam anaishia kwenye ligi tuu.
 
Back
Top Bottom