Nimegundua idadi kubwa ya Watanzania au Africa tumetumia camera moja kuangalia shuti la Ki Aziz

Wewe una camera zako?
Nawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi.

Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani.
Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na haujafiika upande wa ndani wa goli. Hivo msimlaumu refa.

Nipo naandaa video muone kwamba lile si goli ila kwa muda huu. Nimeandika niwatoe wasiwasi wana jangwani na viongozi wenu wa juu, kama Mwana FA na Kimgwagala yule.
 
Sasa si uweke hizo camera zako za kuonesha mpira ulidunda kwenye mstari! Mbona umeishia kubwabwaja tu! Jinga kabisa wewe.
 
Nawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi.

Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani.
Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na haujafiika upande wa ndani wa goli. Hivo msimlaumu refa.

Nipo naandaa video muone kwamba lile si goli ila kwa muda huu. Nimeandika niwatoe wasiwasi wana jangwani na viongozi wenu wa juu, kama Mwana FA na Kimgwagala yule.
Nimeshangaa mtu ni kiongozi kwa ngazi ya uwaziri analalamika kama akina kigeregere!
Kiongozi anapaswa kuwa mtulivu hadi atakapojiridhisha na ukweli ndipo aseme.
Ukweli lile sio goli ukishaliangalia kwa msaada wa teknlojia
 
Uungwana ni kusema ukweli, kuanzia mashabiki wa Mamelody mpaka commentators wa South Africa wanakiri wazi, hawaelewi maamuzi ya Refa yaliwezaje kulikataa lile goli.
Una ushahidi?
Kwa hiyo VAR haina maana siyo?
 
Una ushahidi?
Kwa hiyo VAR haina maana siyo?
Tofautisha Video assistant referee na goal line technology....hivo Ni vitu miwili tofauti ....

cAF Wana VAR ....hawana goal line technology

CAF wangekuwa na goalline technology maana yake ungeweza kuona camera ikitoa Kila kitu na kubakiza mpira na line huku ikionesha Kwa uwazi kuwa mpira umevuka line au laaaah ....Kwa Bahati mbaya Hakuna hio kitu ....
 
Kama shida yenu ni nusu basi CAF wameamua Yanga iende nusu kaputi😀😀😀
 
Sasa Azam Wana camera gani za kuzoom Lile goli 😂 pale var ndo inaonesha kila kitu camera za tv ukizoom utaona goli ila kisheria sio
Kwani azam ndiyo ana haki kuchukua picha au yeye mwenyewe mtu wa pili?
 
Nawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi.

Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani.
Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na haujafiika upande wa ndani wa goli. Hivo msimlaumu refa.

Nipo naandaa video muone kwamba lile si goli ila kwa muda huu. Nimeandika niwatoe wasiwasi wana jangwani na viongozi wenu wa juu, kama Mwana FA na Kimgwagala yule.
Mkuu itoshe kusema tu kwamba wewe ni mpumbavu!
 
Mimi ni Simba, na nimefurahi Yanga kutolewa, lakini ukweli usemwe, lile ni goli halali kabisa kwa Yanga, pale wameonewa. Kwanini? Picha zote za kamera na video ambazo mpaka sasa zimetolewa zinaonyesha mpira ulivuka mstari wa goli kwa 100%.
Asante kiongozi, kama kweli wewe ni Simba nakuondoa rasmi kwenye kundi lile lililosemwa na mwenyekiti Aden Rage, mbumbumbu!
 
Back
Top Bottom