Nawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi.
Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani.
Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na haujafiika upande wa ndani wa goli. Hivo msimlaumu refa.
Nipo naandaa video muone kwamba lile si goli ila kwa muda huu. Nimeandika niwatoe wasiwasi wana jangwani na viongozi wenu wa juu, kama Mwana FA na Kimgwagala yule.