Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Sasa Azam Wana camera gani za kuzoom Lile goli 😂 pale var ndo inaonesha kila kitu camera za tv ukizoom utaona goli ila kisheria sioHivi mbona camera za nyuma au angle nyingine hazijaonyeshwa? Ina maana upande wa goli like hakuwa na kamera za nyuma?
By the way I m Simba fan but Yanga deserved that goal.
Sio goli. Ww umeangalia camera ile moja ambayo.Hivi mbona camera za nyuma au angle nyingine hazijaonyeshwa? Ina maana upande wa goli like hakuwa na kamera za nyuma?
By the way I m Simba fan but Yanga deserved that goal.
Naunga mkono hoja, na sababu ulizoandika hapa ndio zimesababisha lisiwe goliVertical image ndio itaondoa utata. Inahitajika picha kutoka camera iliyo kwenye nguzo ya juu ya goli ikiuangalia mpira chini vertically.
Hiyo picha ya kwapembeni inaonesha uvungu wa mpira.
Haiondoi utata KWA asilimia 100
Azam anahusika vp hapo wewe naeSasa Azam Wana camera gani za kuzoom Lile goli [emoji23] pale var ndo inaonesha kila kitu camera za tv ukizoom utaona goli ila kisheria sio
We utafanya nipigwe ban , kabaishiwe ulaleSIO GOLI LILE, TIMU YA SERIKALI IACHE KULIALIA
Wao wenyewe hawajatuonesha kwa hii camera, kwa kuhofia kuonekana waziwazi kuwa lile ni goliNawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF , Kwaajili ya shuti la aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi.
Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani.
Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na haujafiika upande wa ndani wa goli. Hivo msimlaumu refa.
Nipo naandaa video muone kwamba lile si goli ila kwa muda huu. Nimeandika niwatoe wasiwasi wana jangwani na viongozi wenu wa juu, kama Mwana FA na Kimgwagala yule.
Timu ya CCM hiiSIO GOLI LILE, TIMU YA SERIKALI IACHE KULIALIA
Mimi ni Simba, na nimefurahi Yanga kutolewa, lakini ukweli usemwe, lile ni goli halali kabisa kwa Yanga, pale wameonewa. Kwanini? Picha zote za kamera na video ambazo mpaka sasa zimetolewa zinaonyesha mpira ulivuka mstari wa goli kwa 100%.Nawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi.