mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Atheists please, kindly ignore this thread, not for you.
Habarini Wana-jamiiforums, nimekuwa nikipigana wakati mwingi sana nifungue jicho hili la tatu kupitia meditation na yoga.
Ila ajabu ni kuwa nimegundua liko wazi tena ni muda mrefu tu, nimejidharau mno kwa nini nilikuwa najichosha.
Kwanza nikawa na dalili zote za mtu aliye na jicho la tatu opened. Pia nikawa na uwezo wa kuanza kuuelewa ulimwengu wa roho pia. Nikawa nazikumbuka ndoto zote nilizokuwa nikiziota na kuziandika.
Ni muhimu sana kuandika ndoto. Unafika wakati unazikumbuka mpaka rangi za hiyo ndoto yako. Inafika wakati mpaka unajitambua ukiwa ndotoni, unajua kabisa hapa ninaota ndoto na unajielewa kabisa hivyo una behave kwa umakini zaidi.
Sasa niwaache na swali! Umemuuliza Mungu jambo, je, atakujibu kwa njia gani? Kama ni ndoto, utajua vipi inatoka kwake?
Utajua vipi amri hii inatoka kwa Mungu hivyo niifuate? Mfano umemuuliza Mungu, Mungu wewe chakula chako ni kipi? Unafikiri Mungu atakujibu kwa njia gani?
Aya hiyo ya juu ndiyo lengo hasa la uzi huu.
Karibuni.