Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Alafu lipo wazi etiDaaah jicho la tatu sio kichwa kizuri labda ungeweka meditation. UNALIJUA JICHO LA TATU WEWE😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu lipo wazi etiDaaah jicho la tatu sio kichwa kizuri labda ungeweka meditation. UNALIJUA JICHO LA TATU WEWE😂😂
La tatu mwisho.Okay sawa kwahiyo kuna jicho hadi la nne au?
Yote ninayoJicho la tata likiwa wazi, huezi kuja kuandika au kuanzisha mada ya hekma ndoko kama hii anyway.
Sign kwanza kama unaeza kuona aura, yana energyfields za watu ziko kama rangi tofauti tofauti..
Unakuwa unauona ulimwengu ma mazingira yake so bright colours zinakuna high saturated.
dreama , visual reality ya ndoto zako inakuwa very strong na straight, utaeza kufanya OBE yani out of body exerience, na mengi mengi ,. kupenda kukaa gizani, hutaki mwanga mkali
Nimeleta uzi kutokana na mshangao mkubwa. Nilikuwa nataka jicho la tatu liwe wazi ila kumbe lilishakuwa wazi kitambo, so nilikuwa natafuta kitu ambachp ninacho tayari.Jicho la tata likiwa wazi, huezi kuja kuandika au kuanzisha mada ya hekma ndoko kama hii anyway.
Sign kwanza kama unaeza kuona aura, yana energyfields za watu ziko kama rangi tofauti tofauti..
Unakuwa unauona ulimwengu ma mazingira yake so bright colours zinakuna high saturated.
dreama , visual reality ya ndoto zako inakuwa very strong na straight, utaeza kufanya OBE yani out of body exerience, na mengi mengi ,. kupenda kukaa gizani, hutaki mwanga mkali
Sinadhani maana ninge kujua tu kwa maandishi yako au wenda hujaandika yote.Yote ninayo
Nimeshapumzika muda huu!Sinadhani maana ninge kujua tu kwa maandishi yako au wenda hujaandika yote.
Chuku maji weka kwenye glass transparent yangalie kwa dakika 10 then uje useme umeona nn?
Wewe lako liko opened?Sinadhani maana ninge kujua tu kwa maandishi yako au wenda hujaandika yote.
Chuku maji weka kwenye glass transparent yangalie kwa dakika 10 then uje useme umeona nn?
Kuna madhara Gani kufungua third eye 👁️Sinadhani maana ninge kujua tu kwa maandishi yako au wenda hujaandika yote.
Chuku maji weka kwenye glass transparent yangalie kwa dakika 10 then uje useme umeona nn?
[emoji2956]Atheists please, kindly ignore this thread, not for you.
Habarini Wana-jamiiforums, nimekuwa nikipigana wakati mwingi sana nifungue jicho hili la tatu kupitia meditation na yoga.
Ila ajabu ni kuwa nimegundua liko wazi tena ni muda mrefu tu, nimejidharau mno kwa nini nilikuwa najichosha.
Kwanza nikawa na dalili zote za mtu aliye na jicho la tatu opened. Pia nikawa na uwezo wa kuanza kuuelewa ulimwengu wa roho pia. Nikawa nazikumbuka ndoto zote nilizokuwa nikiziota na kuziandika.
Ni muhimu sana kuandika ndoto. Unafika wakati unazikumbuka mpaka rangi za hiyo ndoto yako. Inafika wakati mpaka unajitambua ukiwa ndotoni, unajua kabisa hapa ninaota ndoto na unajielewa kabisa hivyo una behave kwa umakini zaidi.
Sasa niwaache na swali! Umemuuliza Mungu jambo, je, atakujibu kwa njia gani? Kama ni ndoto, utajua vipi inatoka kwake?
Utajua vipi amri hii inatoka kwa Mungu hivyo niifuate? Mfano umemuuliza Mungu, Mungu wewe chakula chako ni kipi? Unafikiri Mungu atakujibu kwa njia gani?
Aya hiyo ya juu ndiyo lengo hasa la uzi huu.
Karibuni.
unawza ukawa kichaa, under demonic attack, kukusa amani na furaha coz utayaona machafu mengi.Kuna m
Kuna madhara Gani kufungua third eye 👁️
NopWewe lako liko opened?
Wewe lako lipo opened?unawza ukawa kichaa, under demonic attack, kukusa amani na furaha coz utayaona machafu mengi.
kwangine huwakuta makubwa zaid
Kwa nini ilhali unaonekana unaongea kwa uzoefu kabisa?
Ndio anachomaanisha,,,,mfuatilie comment zakeDaaah jicho la tatu sio kichwa kizuri labda ungeweka meditation. UNALIJUA JICHO LA TATU WEWE😂😂
Liko wazi kabisa kabisa?Atheists please, kindly ignore this thread, not for you.