Nimegundua kumbe jicho langu la tatu liko wazi kabisa

"Jicho lako la tatu lipo wazi".

Sawa wakubwa tumekuelewa.
 
Unalifahamu jicho la tatu? Si anus ni invisible eye located between your eyebrows
Jicho la tatu ni uwezo wa kutambua yaliyopo nyuma ya yale yanayoonekana kwa macho ya kawaida. Pia ni uwezo wa kuyaona mambo ya wakati ujao. Kuyajua mambo ya kiroho yawe mazuri au mabaya.
 
Mada nzuri ila imechakachuliwa na vijana wa hovyo!

Third [emoji2539] ikiwa open unaona mengi, technically unaweza tambua yajayo kupitia meditation,huwa najua kama naenda sehemu fulani nitafanikiwa au la! Napata majibu instantly! Kumbuka ukiitumia vizuri Higherself inakupa majawabu! binafsi huwa nafanya meditation na Yoga..Third Eye [emoji2539] ni tata ina jazba [emoji23] (Sijui ni kwangu tu) kimsingi Chakra zisipokua balanced ama kama kuna jambo unataka taarifiwa asee, huwezi kutulia hata ukiwa kazini au popote mpaka taarifa husika uipokee..kuna kipindi mpaka najuta hasa ikiwa overactive! Ila inasaidia, unauona ulimwengu kwa dhana na taswira tofauti! Sema dahh..
 
Daaah..... Watu wamekukula jicho lako mpaka limekuwa wazi kabisa.... Hatari sana dogo. Nyie watu mnajitangaza tu siku hizi.
 
Nilifikiri ni hadithi ya kusisimua, kumbe ni mambo ya kisanii tu? Jicho la tatu si ni tundu la dushe jamani au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…