Afadhali na wewe umeona. Ila sasa, we unadhani tatizo ni nini,hebu tupe your take,kidogo tu.Vijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au...
Sasa na useme wewe wa jalalani au waaapiiiπ«£Vijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au...
Cc GENTAMYCINE the witch SAUTVijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au...
Hata UDSM iliyokuwa ikiheshimika Afrika, Jenerali Ulimwengu alisema ni extended High School, thinkers hawapo pale miaka hii.Wakisema vyuo vikuu Tanzania unakipeleka kipi?
umechochewa na mihemko au umekurupuka ukiwa na njaa kuandika haya ulioandika au umedisco nini, ukiwa unasoma miongoni mwa vyuo hivyo?Vijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au...
Unatakiwa ufike wakati tutofautishe kati ya thinker na grumblers; Jenerali ni grumblerHata UDSM iliyokuwa ikiheshimika Afrika, Jenerali Ulimwengu alisema ni extended High School, thinkers hawapo pale miaka hii.
Afadhali wewe umeona.Ila sasaa,we unaona tatizo ni nini,hebu tupe your take,kidogo tu.
Brotha kama lisu ni bogas na anapambana kuonyesha umma wizi unaotekea serikalini wewe ni nani ,tunamjua lisu kuanzia sekeseke la Richmond Sasa hili la sukari akae kimya?,mikataba ya hovyo pia akae kimya wewe ambae sio bogas umefanya kipi?Vijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au...
Mkuu mbona wewe mwenyewe uko subjective badala ya kuwa objective, uko full of opinion na si full of facts.Vijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au...
Makunduchi wachawi Sana πππππ bora wa miembeni au makadalaSisi wa makunduchi unatusingizia tu wajinga ni kwenu huko bara
We unaweza kuzani mtu ni bogasi kumbe bogasi ni wewe. Maswali kama ya kwenye Hard talk siyo maswali yote ya kujibu kwani kunakuwa na maswali mengi ysa mitego kwahiyo mengine unayakwepa kwa kujitoa ufahamu.Vijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au...
Tupe uchambuzi wako basiVijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au...
Wewe unayeandika "wanasubili" huwezi kuhoji elimu ya watu wengine.Wanasubili tu leo lisu ataongea nini halafu wanaripoti kama lilivyo as if wao ni empty sets.
1. Sujakuelewa hapo nilipobold.Hata magazeti wanaconclude kwa kusoma vichwa vya habari tu.
Ndo maana hata kwenye hard talk yule sucker alivyokuwa qnqmhoji lisu qlimuona ni bogus anamuuliza hiki anajibu kile.
Maskini tanzania.
sunna hiyo shekhe wanguMakunduchi wachawi Sana πππππ bora wa miembeni au makadala
Mbona sasa umeshindwa angalau kutuwekea quotation ya kile walichosema hao vijana. Unawalaumu vijana bure. Waache watumie uhuru wao kwa kaadri ya uelewa wao.Vijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au.
Angalia hili swala la mpina, ukimuuuliza kijana alitolee analysis na jinsi gani analishadadia wala hajui lolote ila analishadadia tu ili mradi wengine wanasema hivyo.
Angalia akina mdude wanavyoviandika au akina maria salungi hapo ndo utaona reasoning inavyodiminish kwa kasi.
Wanasubili tu leo lisu ataongea nini halafu wanaripoti kama lilivyo as if wao ni empty sets.
Hata magazeti wanaconclude kwa kusoma vichwa vya habari tu.
Ndo maana hata kwenye hard talk yule sucker alivyokuwa qnqmhoji lisu qlimuona ni bogus anamuuliza hiki anajibu kile.
Maskini tanzania.