Nimegundua kwamba Watanzania wengi hawana ufahamu kwenye mengi hasa vijana. Elimu inapaswa iangaliwe upya


Maria Sarungi na Mdude wamesoma SAUT?
 
Watu waliopewa dhamana wakiacha kuahirisha kufikiri kwa nafsi tutafika mbali sana, (human herding), ama unyumbu, unyumbu ni tabia ya waliopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza au kutumikia kundi Fulani ama uoga wa viongozi wao, human herding is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering or working towards group objectives and fear of their leaders. Nyumba humfuata muongozaji hata kama muongozaji at hatarisha maisha yao
 
Duh. Mkuu sijui uliamkaje na utalala vipi. Usije kujinyonga nyonga bure kwa makasiriko.

Fanya therapy haraka Mkuu, hata Lissu anafanya kwa sababu za makasiriko na viwewe.

Watanzania ni bongo bana. Hapa ndipo maisha yote unayoyaona Duniani yalipoanzia. Hata Akili.

Tanzania Akili kubwa!
 
Mbona kwa andiko lako hili wewe ndiye zero brain kabisa. Hebu dadavua wewe alichosema Mpina na uandike walichosema hao unaowaona ni vilaza halafu utuachie tufanye ulinganisho. Tatizo lako wewe mtu anayetofautiana na mtazamo wako unamuona hana akili.
 
Utashambuliwa sana na wewe pia kuonekana hauna akili na mashabiki wa hao uliowataja.

Lakini pia ungeweka majina ya upande ule mwingine basi pia ungeitwa kamanda na kuonekana sio tu unaakili bali ni genius.

Haya yanatokana na msingi wa ulichoandika WATANZANIA WENGI HATUNA AKILI AKA OYAOYA hatuna uwezo wa kufikiri jambo kwa akili huru bali tunasukumwa na ushabiki + udini.
 
Mbona mwandishi kama ndio bogus vile
 
sunna hiyo shekhe wangu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈLamamayeee daaah!!
 
Mkuu umehoji mambo ya msingi. Pamoja na hayo, majibu ya sasa ya wachangiaji wengi kuhusu hoja yake yanaakisi kile alichokipigia mstari.

Jaribu kuangalia mtiririko, am sure you will come up with a second thought if not a reasonable opinion!! Take your time Mkuu!!

βš–οΈ4Asimwe#
 
Vijana wa hovyo mnamshambulia mtoa mada

πŸŽ―βœοΈπŸ“πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸ€πŸ‘ŠπŸ™πŸŽπŸ›‘οΈ
Wamenasa kwenye mtego!!!

βš–οΈ4Asimwe#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…