Nimegundua mapenzi hayanitaki, ngoja nifanye mambo mengine tu

Nimegundua mapenzi hayanitaki, ngoja nifanye mambo mengine tu

Ukibahatika kupata mwanamke aliyetendwa kwenye mapenzi utainjoi sana. Wanakuwa na mapenzi ya dhati, wanakuwa hawana ulimbukeni wa starehe. Wanafokasi maisha. Na wanaheshma sana. Wachache sana hawajielewi. Nawapenda sana wanawake wa aina hii ( sio lazima awe singo maza yeyote aliyepitia usaliti)

Hao wanafaa kuwala tu ila sio kujimilikisha, ipo siku tu watarejea sura zao halisi…. tena si ajabu wakarudi kwa hao hao unaoita watendaji.
 
Huyo jamaa wa 3 kuna mawili:

Huenda alikuwa anatesti mitambo kuhusu kuishi wote akaona imetick ghafla mno kastuka kuwa anapigwa.

Au ni kweli amedhamiria kuishi na wewe hivyo ameanza kukupima uvumilivu wako na reactions zako anapokuwa hakuzingatii.

Note:
Most women make no effort to keep their relationships healthy when the evil strikes , mara nyingi huendekeza lawama tu na kulalamika.
Hii "Note" yako nimeielewa sana!
 
Umefanya maamuzi sahihi,Ukifanikiwa kukaa mwaka nitafute!
 
Mahusiano yetu sisi waswahili yanakosa uwazi. Kila mmoja anashindwa kuweka lengo la kumtaka au kumtamani mwenzake. Pasi na shaka tunaishia kudanganyana ili kufikia malengo kama wewe ulivyo danganywa.

Naamini kuna vitu vingine vinvyoweza kukup furaha tofauti na mapenzi. Ebu itafute furaha kwanza na ndani ya furaha utapata penzi. Lakini sio penzi lilete furaha ikiwa wewe ndani mwako hauna furaha.
 
Mimi mbwa tu wa hapa napoishi hataki kuniona na ananibwekea tu mwaka mzima...sasa ndo nije nipendwe na mwanadamu tena mwanamke...

Wengine hatujaumbiwa mapenzi...tutafute tu maisha mazuri tu basi
 
hivi mwamba aubameyang yuko wapi sikuhizi?......................jamaa alikuwa ana dribo balaa
 
Pole sana pambana kulea watoto achana na mambo ya kuolewa hakuna mwanaume mwenye akili timamu ataoa mwanamke mwenye watoto watatu kwani atakuwa kabeba mzigo mkubwa sana ambao haumuhusu ndo maana ameamua kujiengua mapema tu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Daah!!, Umeongea ukweli ambao una uchungu ndani yake yani una uma hasa
 
34yrs bado unahitaji kupendwa na kupenda pia.
Usipoyafuata basi mapenzi yatakutafuta.
Tulia kwanza, acha papara, utapata atakayekufaa zaidi
 
Dada , ondoa dhana ya kutegemea kupata mapenzi ya kweli kutoka kwa wanaume na maanisha ivi akili yako isikae ikaamini kutakua na mwanaume atakae timiza expectations zako , ukifanya hivi furaha yako itaanzia hapo

Namaanisha ivi tegemea kupata starehe ya mapenzi tu kutoka kwao na si mengne mengne kama kutengeneza nao maisha

Note: single mama huwa wanapicha ya utofauti kwa wanaume so jaribu kuishi na picha io io , chochote unachofanya fanya kwa ajili ya watoto wako na furaha yako mengine yote yawe ya ziada kwa hakika utaniona furaha yako
 
Jifunze kujitegemea,, tayari una majukumu mazito sasa ya kulea watoto wako.... Achana na habari za mapenzi...

Sio rahisi ila yote yanawezekana.
 
Mahusiano yetu sisi waswahili yanakosa uwazi. Kila mmoja anashindwa kuweka lengo la kumtaka au kumtamani mwenzake. Pasi na shaka tunaishia kudanganyana ili kufikia malengo kama wewe ulivyo danganywa.

Naamini kuna vitu vingine vinvyoweza kukup furaha tofauti na mapenzi. Ebu itafute furaha kwanza na ndani ya furaha utapata penzi. Lakini sio penzi lilete furaha ikiwa wewe ndani mwako hauna furaha.

Nakazia hapo
 
Pole sana,basi watoto washakua wakubwa na pengine umepambana kusomesha,hiyo mbuzi inajileta.
 
Back
Top Bottom